Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Alijua atakua rais,kwa ndonto.
Hizo ni porojo za vijiweni. JPM hakuwa mtu wa kubembeleza mtu mwingine. Hata uchaguzi wa term ya pili ilikuwa fursa nzuri ya Samia kujiengua, kama angetaka!