KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Muacheni mama aendelee na kazi Imani itajijenga yenyeweKama vyama vya siasa bado vinakatazwa kufanya mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba, na wewe hujaingilia kati kwa ishu ndogo kama hii ambayo hutapata lawama maana kipo kikatiba, Basi naanza kuwa na mashaka utawala wako.
Najua umezungukwa na wahafidhina wa CCM, lkn Kama dhamira yako, sheria na Katiba vinakupa haki katika kufanya lolote, waambie kuwa kwa hili niacheni.
Kwa habari ya ViFURUSHI vya smu, it seems VODACOM ama wameitia TCRA mfukoni, au ndo wanaendesha serikali hii ya awamu ya 6!Ongezea na issue ya vifurushi vya simu, waliotumbua pesa kwenye report ya CAG, uthubutu ni jambo gumu sana anaogopa kutengeneza maadui huko CCM.
Kama vyama vya siasa bado vinakatazwa kufanya mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba, na wewe hujaingilia kati kwa ishu ndogo kama hii ambayo hutapata lawama maana kipo kikatiba, Basi naanza kuwa na mashaka utawala wako.
Najua umezungukwa na wahafidhina wa CCM, lkn Kama dhamira yako, sheria na Katiba vinakupa haki katika kufanya lolote, waambie kuwa kwa hili niacheni.
Hamna kitu hapo nimemsikia naibu waziri kama sijakosea akitolea hilo suala ufafanuzi bungeni akasema wao kama serikali lazima waangalie na wateja wao (makampuni ya simu) yanayowalipa kodi pia yaweze kupata faida.Kwa habari ya ViFURUSHI vya smu, it seems VODACOM ama wameitia TCRA mfukoni, au ndo wanaendesha serikali hii ya awamu ya 6!
Maana, ingawa matamko yalitolewa na serikali kurejesha vifurushi vyote kwenye viwango vya awali, VODACOM wametulia kwa viwango vya ndugulile na genge lake ndani ya TCRA [emoji849]
🤣🤣🤣🤣🤣 alikua ni kama alien from another planet,Kweli mwendazake alikua kiboko maana we all tumepata sauti zetu tena!!!!
Mbona mitandao mingine wamerejea kwny viwango vya mwanzo?!Hamna kitu hapo nimemsikia naibu waziri kama sijakosea akitolea hilo suala ufafanuzi bungeni akasema wao kama serikali lazima waangalie na wateja wao (makampuni ya simu) yanayowalipa kodi pia yaweze kupata faida.
Kwani mwanasiasa kazi yake ni ipi ukiacha siasa,hujui kama siasa ni ajira pia.Minyumbu basi inajua ndio itajiachia muda wa kuchapa kazi huu!!!sio muda wa siasa wayabane hivyo hivyo
Hao waliorejea nao siwaamini, baada ya muda watashusha data taratibu, hiki unachokiona kwa voda ujue ndio benchmark na serikali iko upande wao.Mbona mitandao mingine wamerejea kwny viwango vya mwanzo?!
Hivyo vyama vyenu vyenyewe mnataka kuongelea nini hasa huko mikutanoni kama si matusi tu na kejeli!!? Kamq ataruhusu makelele yenu itakua ni ajabu kabisa, ngojeni wakati wa kampeni, msimchoshe Amir jeshi wetu ana mambo mengi ya muhimu kuliko nyie wachumia tumboKama vyama vya siasa bado vinakatazwa kufanya mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba, na wewe hujaingilia kati kwa ishu ndogo kama hii ambayo hutapata lawama maana kipo kikatiba, Basi naanza kuwa na mashaka utawala wako.
Najua umezungukwa na wahafidhina wa CCM, lkn Kama dhamira yako, sheria na Katiba vinakupa haki katika kufanya lolote, waambie kuwa kwa hili niacheni.
Kama vyama vya siasa bado vinakatazwa kufanya mikutano ya hadhara ambayo ipo kikatiba, na wewe hujaingilia kati kwa ishu ndogo kama hii ambayo hutapata lawama maana kipo kikatiba, Basi naanza kuwa na mashaka utawala wako.
Najua umezungukwa na wahafidhina wa CCM, lkn Kama dhamira yako, sheria na Katiba vinakupa haki katika kufanya lolote, waambie kuwa kwa hili niacheni.
Zaidi ya miaka 50 sasa bado unasubiriWe subiri,subira huvuta kheri
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Pole sana ni kweli miradi mingine haikuepo kwenye budget mfano chato airport, manunuzi ya ndegeMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.