Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ana nia njema na Tanzania but the woman is not realistic.

Ndani ya mwaka atakuja gundua agenda zake sio realistic na kuisogeza Tanzania au nchi yoyote ndani ya Africa its a hands-on job hizi sio nchi za laissez or democratic leadership.

Worst anatoa pressure serikalini investment za kimkakati zikamilike haraka bila hata ya kujua impasse zipo wapi kwenye negotiations, watu watakuja kuingia mikataba ya ovyo huko kwenye Oil and Gas kisa hizo pressure zake.

Mabeberu hawana haraka wana source luluki za hizo resources, Norway ambae ni mmbia kwenye huo mradi, ndio supplier mkubwa wa Gas Europe so wanaweza vumilia mpaka serikali ilegee iingie mkataba wa ovyo wa muda mrefu. Yeye kutwa amekazana plant ya LNG ijengwe not sure ata kama anaelewa elements za negotiation zenyewe.

90% of her speech was pure fantasy, huo ndio ukweli in hayati’s voice; the woman is not realistic.
 
Sasa hao ndio wakina kakoko ambao jiwe aliwalea
 
Unateseka ukiwa Chato au Burundi?
 
Habari ya Chato au Bujumbura?
 
Pore sana, mie sierewi ira wewe nafikili uerewi zaidi.😆

Everyday is Saturday..............................😎
 
Rejea ile habari ya upotevu wa 1.5trillion ndo utajua majizi yalikua wapi
 
Hivi ulihudhuria mazishi Chato?
Kama hukuhudhuria hata kuangalia kwenye TV ulishindwa?
Je, kwenda Chato kuangalia kaburi lake unashindwa?
Kwa nini hamuamini kuwa amekufa kweli?
Au mnakubaliana na maneno yake kwamba bila yeye hakuna mwingine anayeweza?
Au tuambieni badala ya mtu wenu kuna Msukuma gani mwingine mnayemtaka tumuweke pale muendelee kufurahi! Kama Joseph Kasheku semeni.
 
Akianza tu kusifiwa na mataifa ya nje, nitajua tu kuwa tayari hali imezidi kuwa mbaya.
 
Habari ya Chato au Bujumbura?
Ngoja tusingizie bila ya ushahidi Magufuli ndani ya miaka 5 kajilimbikizia labda tsh 200 billions that’s a drop of water in the ocean kwenye budget ya Tanzania.

Pamoja na wizi huo mdogo kufanya alichofanya kwenye uwekezaji wa kimkakati ili kutafuta pesa za maendeleo; ajira alizotoa ni kuendana na mahitaji ya lazima, kapunguza watu makazini, kaokoa hela hapa na pale kwa kupunguza mianya ya wizi, kaongeza makusanyo TRA, kalazimisha Dividends kutoka mashirika ya umma na kakopa kweli kweli kufanya aliyofanya.

Mama yupo soft for the most part on that front if anything she is thinking of adding to government admin expenses.

Sasa sijui hiyo hela atatoa wapi maana ana na mipango yake ya ziada jumlisha na ile aliyoikuta solution zake chimbeni hayo madini ata Mbugani na kugawa hiyo Gas ata bure mradi serikali ipate chochote; hana long term vision ya nchi anafikiria leo tu.

Her vision and leadership won’t work in Tanzania. Mama harudi kwenye plan aliyoikuta na kuacha kuleta ubunifu ambao hana or not thoroughly thought.
 
Hahaha jichanganye uone.
Kazi zipo nyingi, kaendeshe bodaboda, u SNITCH siyo kazi, kudhulumu watu jasho, haki na hela zao.

Leo kikosi kazi chenu kimepigwa stop. Lazima mlalamike, karibuni mjumuike na wanyonge, kudemka demka!
Maisha ndiyo haya! Siye mbona tuliweza wakati nyie mnaishi kama malaika sisi tuliishi kama mashetani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Urais ni taasisi ... akiwa radhi kutumia ushauri wa mfumo ataongoza vizuri tu
 
Mbona hata magufuli hakua na huo uwezo zaidi ya kuharibu uchumi? Fanyeni kazi vijana majungu hayafai
Wakati wa JPM mama alikuwa msaidizi wake. Na vyama vina tabia ya kuteua makamu wasio na uwezo ili kujaza matakwa ya tume ya uchaguzi.
 

Kaweza
 
Juzi ulikuwa unalalamika wewe na wenzako hamna ajira .
Bado unaamini jiwe alikuwa na uwezo mkubwa?
Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida.

Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…