Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ana nia njema na Tanzania but the woman is not realistic.

Ndani ya mwaka atakuja gundua agenda zake sio realistic na kuisogeza Tanzania au nchi yoyote ndani ya Africa its a hands-on job hizi sio nchi za laissez or democratic leadership.

Worst anatoa pressure serikalini investment za kimkakati zikamilike haraka bila hata ya kujua impasse zipo wapi kwenye negotiations, watu watakuja kuingia mikataba ya ovyo huko kwenye Oil and Gas kisa hizo pressure zake.

Mabeberu hawana haraka wana source luluki za hizo resources, Norway ambae ni mmbia kwenye huo mradi, ndio supplier mkubwa wa Gas Europe so wanaweza vumilia mpaka serikali ilegee iingie mkataba wa ovyo wa muda mrefu. Yeye kutwa amekazana plant ya LNG ijengwe not sure ata kama anaelewa elements za negotiation zenyewe.

90% of her speech was pure fantasy, huo ndio ukweli in hayati’s voice; the woman is not realistic.
 
Magufuli hakuwahi kushindwa! Nchi ilionekana inaelekea wapi sasa hivi kila samaki kambale. Na kujitia mwema mbele ya majizi... fikiria mtu anajulikana anamshahara wa 7m ame declare kwenye tume ya maadili hana biashara but kwenye account ana 2.3 B unamuuliza hizi umetoa wapi hana majibu uki freeze account unaonekana katili kweli?
Sasa hao ndio wakina kakoko ambao jiwe aliwalea
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Unateseka ukiwa Chato au Burundi?
 
Habari ya Chato au Bujumbura?
Ana nia njema na Tanzania but the woman is not realistic.

Ndani ya mwaka atakuja gundua agenda zake sio realistic na kuisogeza Tanzania na nchi za Africa kwa ujumla its a hands-on job hizi sio nchi za laissez or democratic leadership.

Worst anatoa pressure serikalini investment za kimkakati zikamilike bila hata ya kujua impasse zipo wapi kwenye negotiations, watu watakuja kuingia mikataba ya ovyo huko kwenye Oil and Gas kisa hizo pressure zake.

Mabeberu hawana haraka wana source luluki za hizo resources, huyo Norway mwenyewe ndio supplier mkubwa wa Gas Europe na wanavumilia mpaka serikali ilegee iingie mkataba wa ovyo wa muda mrefu, yeye kutwa amekadhana plant ya LNG ijengwe not sure ata kama anaelewa elements za negotiation zenyewe.

90% of her speech was pure fantasy, huo ndio ukweli in hayati’s voice; the woman is not realistic.
 
Hahahaa rabda nikwambie tu kama uelewi tuanze na hao wabeberu mnaowabudu kuwa ni wana democrasia kwa kina Angela Merkel, Magreth Thatcher,

Engaland wanawake wameruhusiwa kupiga kura ktk uchaguzi mwaka 1920

Germany wanawake wameruhusiwa kupiga kura ktk uchaguzi mwaka 1918

Hii inatuambia nini toka nchi za England na Ujerumani ziwepo Duniani mwanamke alikuwa hashiriki ktk maamuzi yeyote ya kuchagua au kuchaguliwa kama kiongozi au siasa sasa imewachukua miaka mingapi kuanza kuwaamini wakina mama ktk maswala ya uongozi jibu unalo ww.

Ellen Johnson Sirleaf huyu nenda kasome alivyokuwa Rais ufisadi na wizi ulukuwaje hv tunavyoongea mwanae anakesi wa Ufisadi na wizi wa zaidi ya dola milion 100

Wanawake ni walezi wazuri ni mama zetu lakini si wasimamizi wazuri ni waangaikaji na watafutaji lakini kwenye swala la usimamizi hawapo vzr ulishajiuliza why kwenye familia akifa baba ni vyepesi kwa familia kusambaratika? Tofauti na akianza kufa mama? Wanawake si wasimamizi ila ni watafutaji na waangaikaji ktk kutafuta pia si mafisadi ila hawawezi kusimamia usifanyike ufisadi ilo ndo tatizo langu kwao
Pore sana, mie sierewi ira wewe nafikili uerewi zaidi.😆

Everyday is Saturday..............................😎
 
Kwa walio kaa mashambani au sehemu wanapopatikana wanyama ambapo sayansi inasema tunashare 98.8% DNA nao ambao ni Nyani,Sokwe etc watakubaliana na mm Nyani akiona wanawake hawaogopi hata kidg hata wawe kundi lakini ndani ya kundi la hao wanawake akiwemo hata mvulana wanaogopa

Najiuliza kama nyani anajua udhaifu wa wakinamama itakuwa mihuni ,mijizi,mifisadi ya Tanzania na policy za mama wa upole na kutii sheria bila shuruti???

Najua wanawake si wezi wala mafisadi kwani ni fedhea sana kwa mwanamke kuonekana mwizi ni bora mwanamke aonekane kahaba kuliko mwizi sasa kama ww sio mwizi je unaweza kupambana na mbinu za wezi ikiwa hiki kitu ni kigeni kwako?
Rejea ile habari ya upotevu wa 1.5trillion ndo utajua majizi yalikua wapi
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Hivi ulihudhuria mazishi Chato?
Kama hukuhudhuria hata kuangalia kwenye TV ulishindwa?
Je, kwenda Chato kuangalia kaburi lake unashindwa?
Kwa nini hamuamini kuwa amekufa kweli?
Au mnakubaliana na maneno yake kwamba bila yeye hakuna mwingine anayeweza?
Au tuambieni badala ya mtu wenu kuna Msukuma gani mwingine mnayemtaka tumuweke pale muendelee kufurahi! Kama Joseph Kasheku semeni.
 
Akianza tu kusifiwa na mataifa ya nje, nitajua tu kuwa tayari hali imezidi kuwa mbaya.
 
Habari ya Chato au Bujumbura?
Ngoja tusingizie bila ya ushahidi Magufuli ndani ya miaka 5 kajilimbikizia labda tsh 200 billions that’s a drop of water in the ocean kwenye budget ya Tanzania.

Pamoja na wizi huo mdogo kufanya alichofanya kwenye uwekezaji wa kimkakati ili kutafuta pesa za maendeleo; ajira alizotoa ni kuendana na mahitaji ya lazima, kapunguza watu makazini, kaokoa hela hapa na pale kwa kupunguza mianya ya wizi, kaongeza makusanyo TRA, kalazimisha Dividends kutoka mashirika ya umma na kakopa kweli kweli kufanya aliyofanya.

Mama yupo soft for the most part on that front if anything she is thinking of adding to government admin expenses.

Sasa sijui hiyo hela atatoa wapi maana ana na mipango yake ya ziada jumlisha na ile aliyoikuta solution zake chimbeni hayo madini ata Mbugani na kugawa hiyo Gas ata bure mradi serikali ipate chochote; hana long term vision ya nchi anafikiria leo tu.

Her vision and leadership won’t work in Tanzania. Mama harudi kwenye plan aliyoikuta na kuacha kuleta ubunifu ambao hana or not thoroughly thought.
 
Hahaha jichanganye uone.
Kazi zipo nyingi, kaendeshe bodaboda, u SNITCH siyo kazi, kudhulumu watu jasho, haki na hela zao.

Leo kikosi kazi chenu kimepigwa stop. Lazima mlalamike, karibuni mjumuike na wanyonge, kudemka demka!
Maisha ndiyo haya! Siye mbona tuliweza wakati nyie mnaishi kama malaika sisi tuliishi kama mashetani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Urais ni taasisi ... akiwa radhi kutumia ushauri wa mfumo ataongoza vizuri tu
 
Mbona hata magufuli hakua na huo uwezo zaidi ya kuharibu uchumi? Fanyeni kazi vijana majungu hayafai
Wakati wa JPM mama alikuwa msaidizi wake. Na vyama vina tabia ya kuteua makamu wasio na uwezo ili kujaza matakwa ya tume ya uchaguzi.
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la

Kaweza

Acha ufitini, kama jiwe aliweza kuongoza nchi hii, Mama Samia ataiongoza vyema zaidi, kazi iendelee na ikimpendeza atawale mpaka achoke.
 
Juzi ulikuwa unalalamika wewe na wenzako hamna ajira .
Bado unaamini jiwe alikuwa na uwezo mkubwa?
Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida.

Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
 
Back
Top Bottom