Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Wewe hayo ni mahaba au mapenzi ,unakumbuka nini sasa na ni juzi tuu
 
Ukiwa Na Chakula Chako Kitamu Huwezi Kumpa Mtoto Wa Jirani Utampa Mwanao Kwanza.
JPM
 
Yapi hayo sasa? Maana yanayoendelea ni mengi sasa ni yapi yameenda visivyo mkuu? Toa uzi ulioshiba kiongozi
Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Kama ulikuwa mnufaika leo njaa utashindwa kumkumbuka mtu aliyepangiwa majukumu mengine na Mola wake.
 
Kwaiyo kachoma mafuta bure? Kuongelea mahindi au kuna vitu vingine sio kwa faida ya PUBLIC?
 
Kumi tena kwa mama nchi inasonga, tunajenga diplomasia iliyokufa.Wakenya, Wacomoro,wazimbabwe wajae kariakoo,wajae minadani vijijini walete pesa vijijini watu wajenge nyumba za kisasa waishi.Maisha ni leo sio kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…