Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Walisema Mahind ya tz yanasababisha kansa Sasa sijui sasaiv kansa wameimaliza?, awa watu wa janja Sana ukiwa mjinga wanakula kichwa na jicho
[emoji23][emoji23]tunapenda na wenzetu humu jf watumie akili,lakini daaah,wamezitunza kwenye fridge[emoji16][emoji16].

binafsi nampenda mama mno,sipendi akosee maana machungu kwa kifo cha jpm yataongezeka mara dufu.
 
[emoji23][emoji23]tunapenda na wenzetu humu jf watumie akili,lakini daaah,wamezitunza kwenye fridge[emoji16][emoji16].

binafsi nampenda mama mno,sipendi akosee maana machungu kwa kifo cha jpm yataongezeka mara dufu.
Mama yetu tatizo kawakumbatia wale watu wapigaji
 
Chuma gan kinaoza wewe,uliskia wapi chuma kinaoza,we vip
watu kibao wameoza lakini farsafa zao zinatembea nasi mpaka leo.

nyinyi nungu nungu,mnaishi kwa bahati mbaya tu,ndio maana hakuna kitu mnaelewa hapa nchini.
 
Yeah. Kama mwanasiasa ni mtu wa biashara anakua na mwelekeo kuonya tra badala ya wafanya biashara. Tra wanakusanya mapato kwa serikali. Rais akiwa na tabia ya kutaka kuwafurahisha wafanya biashara kwa kuwasema vibaya tra kila mara atajikuja wafanyabiashara hawalipi kodi.
 
Hivi wewe hujui kuwa VODACOM ni ya Rostam Aziz kada mkereketwa wa CCM???
 
Mimi najua anatupeleka kwenye ustawi wa maisha ya watu, maendeleo ya uchumi na demokrasia
 
Sijasoma yote ila nina imani umendika utumbo wa Nguruwe. Sukuma gang hebu tuacheni tupumue. Hata asipofanya vizuri sawa tu maana furaha tayari tunayo. Lijamaa lililopita liliona nchi ni Mali yake
 
"Chai ya Asubuhi"

Itafakari hii katuni kutoka Kenya Kisha jiulize Mambo yajayo.
📌Leo tunamsikia Rostam Azizi mtanzania na mfanyabiashara mkubwa pia aliwahi kuwa Mbunge.
✳️ Rostam Azizi, anasema, Mtanzania sio Kazi nyepesi kuwekeza Kenya kama tunavyofikili.

📌 Mtanzania ni kweli hawezi wekeza Kenya kwakua mazingira sio Rafiki , ila kwa mkenya mazingira ni Rafiki kuwekeza Tanzania 🇹🇿 kwakua hatuna sheria zinazosimamiwa kikamilifu juu ya Archi yetu na lasilimali zetu hivyo kila mtu akija anajimegea tu shamba kubwa analima Kisha anaenda kuuza Kenya 🇰🇪.

📌 Mtanzania mkulima hawezi kupata Ardhi ya kulima Kenya, ndio maana wafanyabiashara wa Kenya walienda kumuona Rais wa Kenya juu ya mazao waliolima morogoro na kuwekeza fedha nyingi , na walichukua mikopo Kenya KCB bank, sasa watalipaje mikopo?

📌Hiki ndicho kimemfanya uhuru kutaka suluhu juu ya ya biashara za mazao na usafrishaji ikiwemo watalii maana magari mengi ya watalii kutoka Kenya yamepaki tu.

📌Sasa Tanzania inademka Sana kwa kisingizio Cha udugu kwamba sasa kuna uhuru na suruhu Katika Nchi hizo mbili kitu ambacho sio kweli unyanyasaji huu Samia hauwezi kuumaliza ikiwa Hata Nyerere alishindwa kuumaliza baada ya Kenya kujimilikisha mali za East Africa community, ikiwemo Ndege na majengo , Lakin Kenya walishahau kwamba Tanzania kuna kila kitu na Kenya ilifanywa sehemu ya Starehe tu na wakoloni lakani hawana Kitu.

📌Ni jambo jema kutafuta Fursa za Kazi kwa watanzania na kushirikiana na watu wenye tija zaidi ikiwemo Congo , malawi Uganda , Rwanda , Sudan, zambia na msumbiji, kuliko kung'ang'na na Kenya ambao sio waungwana Hata kidogo.

📌Msimuone Nyerere au Magufuli mbaya juu ya Kenya hapana wao wametutenda mengi ya hovyo ambayo ni lazima kuyatatua kwanza ndio mambo mengine yaendelee.

📌Rais anaposema ni wanasiasa wachache ambao wanakosoa juu ya suruhu hizi anakosea Tena anakosea Hata hao watangulizi wake akiwemo Nyerere .

📌Leo hii Nyerere au Magufuli wangekuwepo Gesi isiingeenda Kenya

📌 Jitafakali kabla.
 
Rostam hawezi kutesa yeye peke yake kwanza makampuni yake kawajaza Wabulushi.

Kampuni yake ya Caspian wafagiaji tu ndio Wenyeji lakini posti nyingine zote ni jamaa zake

Wacha waje Matajiri wa Nje watupe Ajira za uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…