Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Marehemu dikiteta magufuli almanusura aidumbukize shimoni hii injii, maza ako poa anatupeleka ktk njia sahihi.
 
Nawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
 
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
JPM will never be forgoten easily....
hizi ni nvua za rasha rasha tu....
 
Nawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu😃😃😃😃

Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
Acha hallucinations..hoja hujibiwa kwa hoja si vioja na maneno ya saluni..
 
Wamepanic

halafu CCm wamepaniki zaidi ya upinzani
Dah....hili liko wazi mbona...kuna watu Wanaangalia maslahi na VYAMA...na wengine maslahi ya NCHI....kirahisi tu....imeandikwa....
"Don't interrupt your enemy when she's doing some mistakes" - Wasambaa 12:3
[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huyo Jpm wakati "tukiibiwa mmno" kama alivyodai yeye alikuwa waziri!! Mbona hakujiuzulu? Ngoma inachezwa kuendana na mdundo!! Ukishindwa kabisaaa ndo unajitoa sio kila mkitofautiana unazirazira kazi!!
Tatizo katiba imemfanya raising asiweze kupingwa hasa akiwa mkatili atakuita kibaraka was mabeberu mwisho atasema unasaliti vita vyakiuchumi hapo yatakukuta makubwa yalisu chamtoto!!
 
Askofu Chidi na genge lako naona mnafika mbali sasa,kama hamukubali uongozi wa Rais Samia basi hameni nchi. Wewe uliacha uchungaji kuja kwenye siasa ili utimize ile ndoto yako ya kuwa na Taifa la Wasukuma,polisi walikukamata kisha wakakuachia kumbe mlikuwa na malengo ya muda mrefu kuivuruga nchi.
 
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.

Wanufaika wa Elimu Bure na Board ya Mikopo ya Elimu ya Juu sasa waanze kujiandaa kupambana na hali zao!
 
Back
Top Bottom