Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Unafiki wake nini, mbona hayati nae alikuwa hivo hivo wakati anamuambia JK asafir tu ili alete mahela, alivoingia unakumbuka akasemaje na akatendaje?

Mtateseka sana, nchi imechukuliwa na CDM kiulaini bila hata push up yani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio umeleta mpya katika baivcha wote
 
Mpeni mda mtu hata mwaka bado mnataka arithi mpaka watu wasiajiliwe na mapengo yako.
 
Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Tatizo lililokuwepo hapo nyuma kutokuwepo kwa TEAM WORK badala yake ilitumika TASK FORCE.
Hivyo ili kuendana na hali halisi ni bora kuanza upya hata kama tutachelewa.
 
Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
Unafiki utakuua taga.
Screenshot_20210407-155201.jpg
 
Nawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
Mkuu vipi umefufuka?

Hii u turn mliyopiga inashangaza sana, kwamba sasa hivi bavicha mnamsifia rais kutoka ccm ila uvccm wao wanamponda!
 
Kuna kundi kutoka SUKUMA & CO .LTD na wamepewa kazi maalum ya kupinga na kukosoa kila hatua ya Rais mama samia kwa sababu tu mipango yao ime kwama baada ya waliye mtarajia awe mpendwa wao wa kudumu kutwaliwa na ndio hao mnao ona wana haha huku mitandaoni kutukana na kukejeli kila hatua ya Mh. Samia suluhu na kinara wao mpanga mikakati anafuatiliwa bila yeye kujijua.
Ni Askofu Chidi
 
Tofauti ni kubwa. Mama ana urais wa kurithi; hajanadi ilani mpya kwa wapigakura!
Mama siyo tu rais was kurithi. Alikuwa running mate....hii ina uzito mkubwa. Kama JPM alikuwa dereva mama alikuwa ndiye co-driver.

Na ndo maana waziri kama abiria anaweza kubadilisha gia angani sasa hivi akaeleweka. Running mate, emotional intelligence ya hali ya juu inahitajika.
 
Mliua upinzani mkajua mmemaliza ...


Sasa humo humo ccm kumetokea mpasuko mkubwa sana ,mnamanguana wenyewe kwa wenyewe ...

Mama samia hakubakiana kabisa na li chama la mafisadi ccm na ndio kashikilia upanga sasa...

Lazima mchanganyikiwe ...


Mama samia kaza hapo hapo ...

Sisi watanzania wazalendo tuko pamoja ,..

Achana na hao wafia chama ,...

Hilo li chama hata likifa kama watanzania wanaishi maisha mazuri basi hakuna tatizo kabisa ....
Mama kanyagia hapo hapo wapenda haki tunakuunga mkono, hawa wahutu wasikutishe
 
Ni kweli ninyi team Chato mmepotezwa lakini susi team Tanzania tuko kwenye right track. Hawamu hii haitokuwa na wasiojulikana kwani kamanda wao ndio kwa heri.
 
Kama kuna kitu hakikuwa sawa, lakini alishindwa kujitenga nacho, hana namna sahihi ya kukikana isipokuwa unafiki! Where’s collective responsibility?
Collective responsibility[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"Hivi nikiondoka ndege zitanunuliwa, hivi nikiondoka reli zitajengwa.... nk nk nk" bado kuna ile "hii nchi imeibiwa sana kama hakukuwa na viongozi" nk nk nk

Mungu mtu wenu ndio aliua hiyo dhana, wakati anauponda utawala wa watangulizi wake ilihali alikuwamo mbona hakujitenga nao bali aliendelea kula mema ya nchi. Wakati amajijengea ka uubgu kake hakujua kuwa kuna collective responsibility?

Hivi mbona mnajitoa ufahamu hivi? Au kwavile mlibanwa mkawa chawa now mna angalau uhuru wa maoni!!
 
Mkuu, wakati mwingine nakuona kuwa mtu wa busara kidogo kati ya wengi waliomo humu JF walioko upande wako huo.

Haya uliyoandika hapa yana ukweli wake, hata kama mimi ninaliona tatizo kwa mwonekano tofauti kidogo na wako.

Kama ilivyo kawaida yenu, mnaoshabikia mtu na kusahau kwamba mtu huyo naye anayo mapungufu makubwa yanayozalisha matatizo mengine.

Kwa mfano: hapa unalaum VP, Waziri Mkuu na wengine kwa unafiki. Ndiyo ni wanafiki wakubwa; lakini huoni kwamba unafiki wao unaweza pia kuwa umechangiwa na tabia za Magufuli, kutopenda misimamo ya wengine nayo ijadiliwe na kuamliwa lipi ni bora?

Kiongozi anapoonyesha kwamba mawazo yake pekee ndio sahihi, akakataa mijadala iliyo wazi kufikia maamuzi bila ya kutishia wenye mawazo tofauti na yake ... hali inapokuwa vile, hawa walio chini yake hawana njia bali kuwa wanafiki.

Kwa hiyo, matokeo ya mtindo wa uongozi wa Magufuli ndiyo haya tunayoyaona sasa.
 
Back
Top Bottom