Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hiyo ^naye^ inamlenga nani, maana kama ni dikteta labda yeye tu Bi Mkubwa wenu. Nchi yetu haijawahi kuwa na dikteta. Au unawazungumzia wale walafi wenu wawili baada ya Mzee wa Benzi!???
 
😲😲
Akina Abiy Ahmed wa Ethiopia si madikteta,leo awe mh.Samia Suluhu Hassan ?!!!

Unaongelea HISIA za moyo wako na si UHALISIA eee?!!

Dikteta awaachie huru UAMSHO na wengine?!!!

#KaziIendelee
 
Mtoa mada na wafuasi wenzako Soma mifumo ya uongozi tofauti upate uelewa,haujui maana ya dikteta,Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi wakariba unayoisema ,isipokuwa wapo katika vyama vya siasa mfano Mbowe ndo dikteta wa kwanza Tanzania,
 
Leo kama kawaida yangu, nikaamua kutembea mtaani kusikiliza wananchi wanasemaje kuhusu tozo hizi ulizowawekea wananchi.

Wananchi wanasema miezi yako mitatu ya kwanza uliwapa matumaini makubwa sana kwa hatua zako za kuonyesha hupendi uonevu, ukafungulia watu waliobambikiziwa kesi, ukafungua akaunti za wafanyabiashara kwenye haya mambo wananchi waliyapenda sana.

Ila sasa wanasema kuwa kwa hizi tozo ulizowawekea kwenye maisha yao hausomeki kabisa!

Wanahoji, wanasema mbona Mawaziri wako, makatibu wakuu, wanaburuza migari ya bei kubwa huku wakiwa na allowance ya mafuta kila wiki au mwez halafu unatoka hapo unawapandishia wananchi kodi kwenye mafuta yao, Wanauliza au kwa sababu hivi vitu kwenu ni bure kwa hiyo hamna uchungu, yaani hamjali?

Mama Wananchi huku mtaani wanahoji inakuwaje unapunguxa kodi kwenye pombe lakini unaiongeza kwenye mafuta, wanahoji huu ni uchumi wa wapi?, Wananchi wanasema ina maana unawapa unafuu walevi kuliko wasafiri wanaohitaji kumove around ili kufanya biashara?

Mheshimiwa rais, wananchi wanasema unazurura sana angani, yaani hutulii sehemu moja kufanya kazi, wanasema kila safari yako ni gharama kwao na eti ndiyo maana unawatoza makato makubwa ili kufinance safari zako za kutwa kucha uko angani.

Ndugu rais, wananchi huku kitaa wanasema hausomeki, wanasema hoja zenu za kujenga shule na barabara huko vijijini hazina mashiko wanasema kwa miaka yote 69 mliyokaa madarakani kwa nini hamjajenga hizo shule, kwa nini hamjajenga hizo barabara?

Mheshimiwa rais huku mtaani wananchi wanahoji sera yenu ya Elimu bure iko wapi wakati hata kujenga shule bado mnaenda kukamua pesa za watu walewale mnaosema eti mbataka kuwapa elimu bure? —Mheshiniwa rais, wababchi wanasema kuwa huu ni utani, dharau na kichekesho chenye kutia hasira. Wanasema eti unawakamua pesa bila aibu ili eti uwape elimu bure, elimu bure gani hii?

Ndugu rais, nataka nikwambie kuwa unapoteza sapoti ya wananchinkwa kasi ya kutisha sana kwa sababu ya sera zako hizi za uchumi. Rudi kwenye drawing board au ng'ang'ania muenendo huu wananchi wakose imani na wewe!

Do something, time bado iko upande wako, lakini it is running very fast against you!
 
Wanahoji, wanasema mbona Mawaziri wako, makatibu wakuu, wanaburuza migari ya bei kubwa huku wakiwa na allowance ya mafuta kila wiki au mwez halafu unatoka hapo unawapandishia kodi kwenye mafuta yao, Wanauliza au kwa sababu hivi vitu kwenu ni bure kwa hiyo hamjali?

Mama Wananchi huku mtaani wanahoji inakuwaje unapunguxa kodi kwenye pombe lakini unaiongeza kwenye mafuta, wanahoji huu ni uchumi wa wapi?, Wananchi wanasema ina maana unawapa unafuu walevi kuliko wasafiri wanaohitaji kumove around ili kufanya biashara?

Mheshimiwa rais, wananchi wanasema unazurura sana angani, yaani hutulii sehemu moja kufanya kazi, wanasema kila safari yako ni gharama kwao na eti ndiyo maana unawatoza makato makubwa ili kufinance safari zako za kutwa kucha uko angani.

Ndugu rais, wananchi huku kitaa wanasema hausomeki, wanasema hoja zenu za kujenga shule na barabara huko vijijini hazina mashiko wanasema kwa miaka yote 69 mliyokaa madarakani kwa nini hamjajenga hizo shule, kwa nini hamjajenga hizo barabara?

Mheshimiwa rais huku mtaani wananchi wanahoji sera yenu ya Elimu bure iko wapi wakati hata kujenga shule bado mnaenda kukamua pesa za watu walewale mnaosema eti mbataka kuwapa elimu bure? —Mheshiniwa rais, wababchi wanasema kuwa huu ni utani, dharau na kichekesho chenye kutia hasira. Wanasema eti unawakamua pesa bila aibu ili eti uwape elimu bure, elimu bure gani hii?

Ndugu rais, nataka nikwambie kuwa unapoteza sapoti ya wananchinkwa kasi ya kutisha sana kwa sababu ya sera zako hizi za uchumi. Rudi kwenye drawing board au ng'ang'ania muenendo huu wananchi wakose imani na wewe!

Do something, time bado iko upande wako, lakini it is running very fast against you!
Tatizo letu kubwa ni CCM.
Haya mengine kuzunguka tu.
 
Leo kama kawaida yangu, nikaamua kutembea mtaani kusikiliza wananchi wanasemaje kuhusu tozo hizi ulizowawekea wananchi.

Wananchi wanasema miezi yako mitatu ya kwanza uliwapa matumaini makubwa sana kwa hatua zako za kuonyesha hupendi uonevu, ukafungulia watu waliobambikiziwa kesi, ukafungua akaunti za wafanyabiashara kwenye haya mambo wananchi waliyapenda sana.

Ila sasa wanasema kuwa kwa hizi tozo ulizowawekea kwenye maisha yao hausomeki kabisa!

Wanahoji, wanasema mbona Mawaziri wako, makatibu wakuu, wanaburuza migari ya bei kubwa huku wakiwa na allowance ya mafuta kila wiki au mwez halafu unatoka hapo unawapandishia wananchi kodi kwenye mafuta yao, Wanauliza au kwa sababu hivi vitu kwenu ni bure kwa hiyo hamna uchungu, yaani hamjali?

Mama Wananchi huku mtaani wanahoji inakuwaje unapunguxa kodi kwenye pombe lakini unaiongeza kwenye mafuta, wanahoji huu ni uchumi wa wapi?, Wananchi wanasema ina maana unawapa unafuu walevi kuliko wasafiri wanaohitaji kumove around ili kufanya biashara?

Mheshimiwa rais, wananchi wanasema unazurura sana angani, yaani hutulii sehemu moja kufanya kazi, wanasema kila safari yako ni gharama kwao na eti ndiyo maana unawatoza makato makubwa ili kufinance safari zako za kutwa kucha uko angani.

Ndugu rais, wananchi huku kitaa wanasema hausomeki, wanasema hoja zenu za kujenga shule na barabara huko vijijini hazina mashiko wanasema kwa miaka yote 69 mliyokaa madarakani kwa nini hamjajenga hizo shule, kwa nini hamjajenga hizo barabara?

Mheshimiwa rais huku mtaani wananchi wanahoji sera yenu ya Elimu bure iko wapi wakati hata kujenga shule bado mnaenda kukamua pesa za watu walewale mnaosema eti mbataka kuwapa elimu bure? —Mheshiniwa rais, wababchi wanasema kuwa huu ni utani, dharau na kichekesho chenye kutia hasira. Wanasema eti unawakamua pesa bila aibu ili eti uwape elimu bure, elimu bure gani hii?

Ndugu rais, nataka nikwambie kuwa unapoteza sapoti ya wananchinkwa kasi ya kutisha sana kwa sababu ya sera zako hizi za uchumi. Rudi kwenye drawing board au ng'ang'ania muenendo huu wananchi wakose imani na wewe!

Do something, time bado iko upande wako, lakini it is running very fast against you!
[emoji21][emoji21][emoji21]
 
Huyu mama kiukweli nmeanza kumuogapa .Atakua hajali watu pia nimeona uwezo wa kuongoza taifa Hana amepwaya mapema Sana,mbele Kuna giza
 
Mama apunguze kurembua awe serious kidogo hili la tozo sijamwelewa kabisa anatu force tumkumbe jiwe sasa
Huyu mama hawa wateule wa raisi wa mwenda zake watakuja wamwangushe, ni vile anajipendekeza tu CCM. Ila ilibidi aanze na wake. Wa mwendazake wana style yao ya uongozi ya ubabe uchwara ujue!
 
Sasa chukulia mfano kama sisi tunaofanya biashara ya samaki kupelekea viwandani Yani huku tunakonunua kwa kila kilo moja ya samaki tunalipia sh 300 kwa Hawa mawakala wao wa halimashauli.Nikichukua tani moja ushuru ni laki 3.Eti Leo naambiwa nikifika kiwanda nilipe Tena aslimia 2%ya huo mzigo serikali.Hapo Bado galama za kusafilishia mzigo .Na pia kumbuka hizi kazi zetu zinategemea miamala ya mobile money ili kazi zifanyike na huko wameongeza galama.

Kwa kweli ndugu zangu nimechanganyikiwa nikiendelea ni kama naifanyia Kaz serikali.Kama Hali itaendelea hivi naacha hii kazi inauma Sana.
 
anaosemeka vizuri sana, binadamu hata umfanyie nini haridhiki hasa vnyie generation x,you demand too much zaidi ya mnachoweza kufanya
 
Back
Top Bottom