Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mafisadi wamejipanga kweli kweli. Asipojitoa maisha yake kama sadaka kwa watanzania ataishia kuwapigia magoti kama JK alivyowahi tudanganya eti mafisadi ukiwagusa nchi inaweza ikayumba hahahahah, ila mwamba Dkt Magufuli aliwashughulikia na nchi ilikuwa shwariiiiWakuu salaam,
Rais samia unashangaza sana, unaukana ufisadi katika utawala wako akati hilo kundi la washirika wako wakuu ni mafisadi papa, unaukana ufisadi ktk utawala wako akati washauri wako wakuu ni hao hao mafisadi papa, unaukana ufisadi kakati utawala wako akati mafisadi ni sehemu ya teuzi zako, hii dhana ya ufisadi huwezi kuiepuka ktk utawala wako madamu umejifungamanisha na mafisadi katika utawala wako.
Kwani ufisadi Tz hii ulishawahi kuisha?alichokuwa anakifanya jiwe, ni kuuziba tu ili usijulikane kwa wananchi, lakini mama samia akiamua kufukua makabuli kwa kipindi cha miaka 5 nyuma ifanyike special audit!!watu tutazimia!!ki fupi CCM, na ufisadi ni samako na maji.Wakuu salaam,
Rais samia unashangaza sana, unaukana ufisadi katika utawala wako akati hilo kundi la washirika wako wakuu ni mafisadi papa, unaukana ufisadi ktk utawala wako akati washauri wako wakuu ni hao hao mafisadi papa, unaukana ufisadi kakati utawala wako akati mafisadi ni sehemu ya teuzi zako, hii dhana ya ufisadi huwezi kuiepuka ktk utawala wako madamu umejifungamanisha na mafisadi katika utawala wako.
Basi huyu nae auzibe ili twende bila kuuonaKwani ufisadi Tz hii ulishawahi kuisha?alichokuwa anakifanya jiwe, ni kuuziba tu ili usijulikane kwa wananchi, lakini mama samia akiamua kufukua makabuli kwa kipindi cha miaka 5 nyuma ifanyike special audit!!watu tutazimia!!ki fupi CCM, na ufisadi ni samako na maji.
Haina haja ya kuuziba, na ndio maana unaonekana kuwa ni mkubwa, na hana uwezo wa kuuzuia, kwani hata awaondoe wote wanaomzunguka kwa sasa, hata timu yake iliyoko nje ni wale wale tu!!sasa wale wafuasi wa mwendazake ndio wanapiga kelele ohooo ufisadi, ufisadi, utadhania ulikuwa haupo!!Basi huyu nae auzibe ili twende bila kuuona
unazinguliwa na nani nchi iliishapotea hatua tuendako bali tunajua tulikotoka tu.hakuna kinachogusika ,mafuta juu,nyama juu,mahindi juu,samaki juu kila kitu kiko juu.matozo kibao na wapigaji wamerudishwa tena serikalini ni shida tupu.Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
AKiwaondoa wote ataweka nani kama yeye mwenyewe anaweka wale ambao walishahalibu na kuachwa ndo anawaona super?Haina haja ya kuuziba, na ndio maana unaonekana kuwa ni mkubwa, na hana uwezo wa kuuzuia, kwani hata awaondoe wote wanaomzunguka kwa sasa, hata timu yake iliyoko nje ni wale wale tu!!sasa wale wafuasi wa mwendazake ndio wanapiga kelele ohooo ufisadi, ufisadi, utadhania ulikuwa haupo!!
Mkuu mbona unakuwa mgeni na huyo sukuma gang?
Ukigombea tu utatosha au hata kugombea hautoshi?Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.