Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Huku kijijini kwetu ilikuwa buku tangu 2010 sahivi 2000
Waambie hata cement ilikuwa 4500 mwaka 2007 sasa ni 18,000.

Kazi inaendelea

Screenshot_20220317-072239.png
 
Mama kweli yupo vizuri na hata huku kwetu bei zimeshuka sana, leo nimenunua sukari 3200 kwa kilo na mchele pia unashuka hadi 2200 kwa kilo....[emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]
 
1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia

2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi

3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao

4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda

5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma

6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja

7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae

Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi unafiki hautaisha
 
Back
Top Bottom