mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Ujinga huo huwa unapata nafasi kwa watu km wew na genta,Na wewe tawala udini wako kichwani kwani umekatazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga huo huwa unapata nafasi kwa watu km wew na genta,Na wewe tawala udini wako kichwani kwani umekatazwa
Eeh na wewe nenda ufipa upeweNdiyo maana
Wali nyama kwa mama lishe ni 2000 kutoka bukuchapati ilikuwa 250.
Leo chapati 1,000?
mkisifu mkumbuke na madhaifu kitaa hali mbaya
Kitaa cha wapi unakoishi peke yako? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bora kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu kama weweUjinga huo huwa unapata nafasi kwa watu km wew na genta,
Za kwako
Wewe utakuwa ni maskini wa kutupwa, yaani wali nyama buku?Wali nyama kwa mama lishe ni 2000 kutoka buku
Kunguru kama wewe ndio mhangaike na mizoga inayonuka ,sisi ni Tausi wa Ikulu.Kea hyo mazuri yake mabaya ya wenzie?
mkiisifu inanukia,ikinuka pia mseme
Huku kijijini kwetu ilikuwa buku tangu 2010 sahivi 2000Wewe utakuwa ni maskini wa kutupwa, yaani wali nyama buku?
Buku 2000 ya wali bei imesimama toka 2010 to date
Waambie hata cement ilikuwa 4500 mwaka 2007 sasa ni 18,000.Huku kijijini kwetu ilikuwa buku tangu 2010 sahivi 2000
Kunguru kama wewe ndio mhangaike na mizoga inayonuka ,sisi ni Tausi wa Ikulu.
Sawa Bashite
Kuleni mihogo kutoka Msoga.Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]Mama kweli yupo vizuri na hata huku kwetu bei zimeshuka sana, leo nimenunua sukari 3200 kwa kilo na mchele pia unashuka hadi 2200 kwa kilo....[emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]twafwaaa
Safi[emoji120]Atuongoze hadi 2035.
Mama hataki watu kuwa maskini na keshasema ataondoa double taxation kwenye bajeti ijayo,tushindwe wenyewe kufanya biashara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi unafiki hautaisha1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia
2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi
3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao
4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda
5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma
6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja
7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae
Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.
Bila kudahau hashtag ya #mamayukojobBaada Ya Yote Hayo Una-summarize Uzi Kwa Maneno Mawili "KAZI IENDELEE"
Sent using Jamii Forums mobile app