Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yani tunafanywa Kama mazuzu royal tour original inasema magu kafa na korona hii ya mchongo wameedit na kufuta vipande.
Eti billion 7 kushoot filamu watu wanalalamika kupanda kwa nauli na gharama za maisha .
Kiongozi wa hovyo haijawah kutokea nchi tutaikosa hii.
Hatari sana.
 
Kwa mambo yanavyo enda endapo kweli Mama atarudishwa Madarakani basi Shetani hatatuelewa kabisa.

Huyu Tangu arudi kutoka Marekani hakuna Cha maana anacho Ongea kwa Taifa lake zaifi ya Royol tour.Yaani mafanikio yake makubwa ni Royol tour.

Huyu Mama kutwa nzima ni Royol tour ina maana maisha ni Royol tour pekee?

Kuna Upigaji wa kutisha na walio piga pesa hata kama ni awamu ya 5 lakini asilimia 99 wako madarakani kwa sasa hakuna kinacho fanyika, Huyu Mama huwezi msikia hata siku moja akizungumzia ufisadi, katika vitu anavikwepa ni hivuo na sana anaoma atawaudhi watu wake

277217582_134909819059067_6687659151004402620_n.jpg
 
Kwa mambo yanavyo enda endapo kweli Mama atarudishwa Madarakani basi Shetani hatatuelewa kabisa.

Huyu Tangu arudi kutoka Marekani hakuna Cha maana anacho Ongea kwa Taifa lake zaifi ya Royol tour.Yaani mafanikio yake makubwa ni Royol tour.

Rwanda walifanya Royol tour ila Kagame hakuwa frontline line kuinadi na hajawahi hata izungumzia.

Huyu Mama kutwa nzima ni Royol tour ina maana maisha ni Royol tour pekee?

Kuna Upigaji wa kutisha na walio piga pesa hata kama ni awamu ya 5 lakini asilimia 99 wako madarakani kwa sasa hakuna kinacho fanyika, Huyu Mama huwezi msikia hata siku moja akizungumzia ufisadi, katika vitu anavikwepa ni hivuo na sana anaoma atawaudhi watu wake.

Watanzania tusipo simama kulinda Mother land hata shetani atatushangaaa sana achilia mbali vizazi vijavyo
Kama shetani alituelewa kwa kumrudisha yule shetani aliyetangulia mbele ya haki, basi atatuelewa tu akirudishwa huyu mrithi wake anayeupiga mwingi
 
Kuna Upigaji wa kutisha na walio piga pesa hata kama ni awamu ya 5 lakini asilimia 99 wako madarakani kwa sasa hakuna kinacho fanyika, Huyu Mama huwezi msikia hata siku moja akizungumzia ufisadi, katika vitu anavikwepa ni hivuo na sana anaoma atawaudhi watu wake.
Atakemea vipi kama kwenye madokezo yupo
 
Keyboard warriors huu utafiti umeufanya wapi?Chapa kazi wacha kulalama.
 
Watanzania mnataka Raisi wa aina gani ? Malaika waje wawaongoze? JPM mlimsakama sana mkasema Bora Kikwete aludi sasa hivi kikwete cha moto ana kiona mnasema bora Maghufuli na Mama akimaliza muda wake mtamkumbuka hivyo hivyo , Mama samia hachana na hawa watu wa mitandao fanya unayoona ni sahii kwako na kwa Nchi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa mambo yanavyo enda endapo kweli Mama atarudishwa Madarakani basi Shetani hatatuelewa kabisa.

Huyu Tangu arudi kutoka Marekani hakuna Cha maana anacho Ongea kwa Taifa lake zaifi ya Royol tour.Yaani mafanikio yake makubwa ni Royol tour.

Rwanda walifanya Royol tour ila Kagame hakuwa frontline line kuinadi na hajawahi hata izungumzia.

Huyu Mama kutwa nzima ni Royol tour ina maana maisha ni Royol tour pekee?

Kuna Upigaji wa kutisha na walio piga pesa hata kama ni awamu ya 5 lakini asilimia 99 wako madarakani kwa sasa hakuna kinacho fanyika, Huyu Mama huwezi msikia hata siku moja akizungumzia ufisadi, katika vitu anavikwepa ni hivuo na sana anaoma atawaudhi watu wake.

Watanzania tusipo simama kulinda Mother land hata shetani atatushangaaa sana achilia mbali vizazi vijavyo
Hatogombea
 
Yani tunafanywa Kama mazuzu royal tour original inasema magu kafa na korona hii ya mchongo wameedit na kufuta vipande.
Eti billion 7 kushoot filamu watu wanalalamika kupanda kwa nauli na gharama za maisha .
Kiongozi wa hovyo haijawah kutokea nchi tutaikosa hii.
Bil 7 !!! Tumepigwa bila huruma wallah tena !
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
SHAKA NA MCHENGERWE NDIO WANAJUA MAANA HATA WASAIDIZI WAKE HAWAJUA KAMA MIMI (SAMAHANI ROYAL TOUR INAZINDULIWA LINI KATAVI
 
Hali ni mbaya kila kona. Vitu vinapanda bei kila kona. Biashara ni ngumu,ajira sekta binafsi na hata serikalini ni ngumu.

Kisingizio kimekuwa ni vita vya Ukraine.

Tunaambiwa kuna shehena ya mafuta iliagizwa toka mwaka jana kabla ya vita vya Ukraine. Lakini sasa hivi imependa bei.

Hali imekuwa ngumu mitaani maana mafuta ni kila kitu.

Royal tour iliyotiliwa mkazo na mkuu wa nchi kiasi cha kwenda kuzurula Usa kwa wiki mbili haina tika kwa raia wa kawaida ili lazima tukubali. Maana haina impact yoyote kwenye mabadiliko ya maisha yao.

Ukweli ni kuwa hajaonyesha hali ya kujali maisha ya raia wa kawaida tangu aingie madarakanai. Zaidi ya kundi la akina Nape na Makamba na akina Rostam Azizi.

Sasa mbona mnalazimisha raia wa kawaida wamkubali mama?
Mkuu Royal tourimezinduliwa jana mabadiliko kwa wananchi unataka uyaone leo? Hii nchi kweli ni ngumu aisee
 
Back
Top Bottom