Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Ukweli ni kuwa nchi yetu Ina wapinzani wa hovyo.1. Kwa nini CCM wamlete mtu kama Magufuli ?
2. Kwani CCM ndio ina dhamana pekee ya kuleta Rais wa Tanzania ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kuwa nchi yetu Ina wapinzani wa hovyo.1. Kwa nini CCM wamlete mtu kama Magufuli ?
2. Kwani CCM ndio ina dhamana pekee ya kuleta Rais wa Tanzania ?
Matola lazima utakua mtu wa Ngada! Unahaki ya kumchukia Magufuli, maana aliharibu njia kibao hata Mimi nilipoteza mchongo!lakini hilo halikunifanya nimchukie Magufuli, maana Mimi kweli kushiriki kwenye biashara hiyo hata kwa mbali bado natenda kosa la Jinai!!!Uliyepoteza ni wewe usijumuishe Watanzania kwenye upumbavu wako.
Mungu amemaliza ugomvi.
Hilo ndilo jibu la maswali yangu niliyouliza?Ukweli ni kuwa nchi yetu Ina wapinzani wa hovyo.
Rubbish.Matola lazima utakua mtu wa Ngada! Unahaki ya kumchukia Magufuli, maana aliharibu njia kibao hata Mimi nilipoteza mchongo!lakini hilo halikunifanya nimchukie Magufuli, maana Mimi kweli kushiriki kwenye biashara hiyo hata kwa mbali bado natenda kosa la Jinai!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wewe tu na shida zako zisizoisha wenzio aka Samia miaka 100.Songa mbele mama achana na wanga wa mchana wamekosa hojaKwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Weye yako yamepauka kama kuni.Tacle lako
Alikukomboa nini sasa?Hivi huwa mnaumwa kichaa?Kwa hakika JPM alikuwa Rais na mkombozi wa kweli wa Watanzania.
Mzilankende, Ngosha, Jiwe, Chuma, Chapa Ng'ombeKwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na analipwa mshahara mnono na anakula vinono na anasafiria vinono na analala panono nakuishi unono!,na anazidi kuwa mnono tu..[emoji16]
Pro sa100 nao tozo zimewakaba kumtetea wameshindwa walichobakiza ni matusi tu!Mada Imeanza Vyema
Matusi yann
Wewe Ridhimoko kaa kimyaAlikukomboa nini sasa?Hivi huwa mnaumwa kichaa?
Zile moments zilikuwa bora kuwahi kutokea nchi hii.Mzilankende, Ngosha, Jiwe, Chuma, Chapa Ng'ombe
Kwenye Utawala Wangu Mimi, Sitabembeleza Mtu
Ngojeni Arakayekuja Na Kuwabembeleza
Unampa Mtoto Yai, Ale Bado Analia
Unampa Uji Anywe, Anatupa Kikombe Chini Uji Unamwagika
Unajua Huyu Mtoto Ana Kiburi
Unamzaba Kofi Moja, Utaona Atakavyobugia Yai Haraka Haraka
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Yule alikuwa takataka na wewe 👇Kwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Hayo ni maneno tuu,Samia ni mara 2 ya Mwendazake..Sa100 aliwahi kusema viatu vya Magufuli havimtoshi,vinampwaya
Tueleze alivyokukumboaKwa hakika JPM alikuwa Rais na mkombozi wa kweli wa Watanzania.