Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Uliyepoteza ni wewe usijumuishe Watanzania kwenye upumbavu wako.

Mungu amemaliza ugomvi.
Matola lazima utakua mtu wa Ngada! Unahaki ya kumchukia Magufuli, maana aliharibu njia kibao hata Mimi nilipoteza mchongo!lakini hilo halikunifanya nimchukie Magufuli, maana Mimi kweli kushiriki kwenye biashara hiyo hata kwa mbali bado natenda kosa la Jinai!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Rubbish.
 
Kwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?

Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Wewe tu na shida zako zisizoisha wenzio aka Samia miaka 100.Songa mbele mama achana na wanga wa mchana wamekosa hoja
 
Kwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?

Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Mzilankende, Ngosha, Jiwe, Chuma, Chapa Ng'ombe
Kwenye Utawala Wangu Mimi, Sitabembeleza Mtu
Ngojeni Atakayekuja Na Kuwabembeleza

Unampa Mtoto Yai, Ale Bado Analia
Unampa Uji Anywe, Anatupa Kikombe Chini Uji Unamwagika
Unajua Huyu Mtoto Ana Kiburi

Unamzaba Kofi Moja, Utaona Atakavyobugia Yai Haraka Haraka

Nasema Uongo Ndugu Zangu
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
 
Na analipwa mshahara mnono na anakula vinono na anasafiria vinono na analala panono nakuishi unono!,na anazidi kuwa mnono tu..[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzilankende, Ngosha, Jiwe, Chuma, Chapa Ng'ombe
Kwenye Utawala Wangu Mimi, Sitabembeleza Mtu
Ngojeni Arakayekuja Na Kuwabembeleza

Unampa Mtoto Yai, Ale Bado Analia
Unampa Uji Anywe, Anatupa Kikombe Chini Uji Unamwagika
Unajua Huyu Mtoto Ana Kiburi

Unamzaba Kofi Moja, Utaona Atakavyobugia Yai Haraka Haraka

Nasema Uongo Ndugu Zangu
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Zile moments zilikuwa bora kuwahi kutokea nchi hii.
 
Kwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?

Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyo hovyo? Umeshundwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Yule alikuwa takataka na wewe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220628-202311.png
    Screenshot_20220628-202311.png
    63.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom