Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea


Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Lazima ajue yeye peke yake, tukijua tutamtoroka kwa kumzidi speed, tutangulie, hata Mwalim Nyrr alifanyaga hvyo hakutakaga watu wajue.....
 
Mama anaupiga mwingi saaaaan....Hiv karibuni kutakuwa na film industry kubwa sana tz...zaidi ya hekta 80 kapewa msanii moja zanzibar, kitu kitaitwa ZOLLYWOOD
 
Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.

Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.

Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.

Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.

Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".

Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.

Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.

Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI

Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
 
Back
Top Bottom