Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

Hili povu jamani duh!
 
We kaa ukijua mkeo analiwa na huyo mjeda, Cha kufanya piga chini huyo mwanamke chap Kisha chukua Mali zako urudi kwa mkeo wa kwanza.

Ukizingua tu kdgo utachezea risasi za huyo mjeda maana hao majamaa hawanaga Cha kupoteza kbsa.
 
Asante sana mkuu nimepata point ya pili.


Point ya KWANZA : ni vicheche

Point ya pili: they are illiterate.

I am still doing intelligence gathering
Hayo mambo ya kutokusoma yalikuwa zamani.

Watu siku hizi wanakula shule kuliko maelezo.

Tofautisha zama kabla halijakukuta dhahama.

Kisa watu wachache wanaofanya generalization.

N.B Kuna wasomi wa elimu ya kawaida na Kuna wasomi wa shahada mbali mbali na Kuna wasomi wa military science.

Haya Sasa nenda kayakanyage Karim Mandonga
 
...... asilimia kubwa ni malaya coz wanalipwa hela uku kazi ikiwa kidogo,angalia asije kuukwaa mkuu...ila yte kwa yte km mkeo anatongozwa na ka-mute ww unakuja gundua mwenyewe akili kichwan mwako
 
Vip unatak apasuke huyo mwanajesh?
 
We nae bishoo tu...yaan unatombe.wa my wife wako, badala ukinukishe eti uko hapa
ooh nimepata point tatu, sijui validation...bonge la nyangema yaaan[emoji848]

Kampake mtu Vaseline huko, thats how masculine react
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti anakusanya data
 
Itakua wanazungumzia Combatants wa Afande msuguri
 
Njia rahisi ni kumu attack physichologically utakua umemaliza kila kitu mkuu...yaani gusa mahali utulivu wa moyo wake ulipo
 
Piga biti ili ajue umejua anachat na mke wa mtu. Ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Mtu anayekutafunia mke wako wala usimuogope.

Mpelekee moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…