Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Angekuwa mtu mzima asingelazimishwa kuolewa.
Sio Christina tuu wapo wanawake wengi wenye umri zaidi hata ya 20 ambao wanaolewa ndoa za kulazimishwa kwa nguvu ya wazazi.

Hakuna ndoa isiyovunjika mkuu. Acha propaganda.
Alafu elewa kuwa Wakristo hawana sheria za ndoa.
Sheria inayotumika ni sheria ya nchi na sheria ya kiislamu.

Sema mafundisho ya Kanisani ndio husema Ndoa ya kikristo haivunjiki lakini hakuna sheria ya namna hiyo
 
Umeoa? Tuanzie hapo kwanza.
 
Bas imani yako na uelewa wako juu ya neno la MUNGU ni mdogo sana you need more teachings coz kwa hii thread yako definately you are AGAINST GOD.

Kwa ushauri tu soma sana neno na Mungu na ulielewe vizuri hasa unapozungumzia issue za ndoa ambazo zipo very sensitive na zinahitaji IMANI ya kumjua MUNGU vizuri.

Na pia just to remind you MUNGU hana CLASS za flani ataolewa flani yeye ndiye anayepanga HUMPANGII ndo maana biblia inasema MKE MWEMA ANATOKA KWA BWANA sio kwa utashi wako na wengi wanaotumia UTASHI ndo mnakuja kutusumbua humu na kauli mbiu zenu za KATAA NDOA ni hayo tu.
 
Huhitaji akilili kubwa kuelewa huyu MTU ameandika kitu anachokielewa na huyu ameandika kitu ambacho Hana uelewa nacho amendikia ushabiki tu
Pia ushauri sio maagizo

Hao waliopitisha hiyo Sheria na huo utaratibu wa miaka 18 hawakuweka tu Kama unavyoamua kujiandikia tu
Huo ni umri ambao MTU anaweza kufanya maamuzi yake mwenye

Kisheria ndoa hatangazwa siku 21 ,
Na ndoa za kikiristo Zina taratibu nyingi sio kitendo Cha siku moja
Huo muda wote huyo dada alikuwa na nafasi ya kufanya maamuzi yake mwenyewe

Inaonyesha alikuwa na tamaa zake binafsi kwa huyo mume wake akamua kuishi naye kinafiki kwa miaka yote ambao baada ya kuzipata anaona Hana maana Tena kwake

Na ukishaolewa kikiristo Hana utaratibu wa kuachana kwa sababu ya HUDUMA au wito
Wito na HUDUMA ya kwanza kwa mwanamke ni ndoa yake labda aamue kutokuolewa

Sara aliishi na mume wake Kama bwana wake na Sara alikuwa akimtii

Katafute maana ya mwanaume kuwa bwana kwa mke wake
Uone tofauti iliyopo
Pia kikiristo anayependa ni mwanaume sio mwanamke
Mwanamke anaamriwa na biblia kumtii mume wake

Siku nyingine ongee mada unazoziwezaa mkuu
Usitafute ushabiki wa Mfumo mpya wa kutaka kumweka mwanamke nafasi moja na mwanaume
 
Bas imani yako na uelewa wako juu ya neno la MUNGU ni mdogo sana you need more teachings coz kwa hii thread yako definately you are AGAINST GOD.

Ñeno la Mungu ni lipi?
Kwa ushauri tu soma sana neno na Mungu na ulielewe vizuri hasa unapozungumzia issue za ndoa ambazo zipo very sensitive na zinahitaji IMANI ya kumjua MUNGU vizuri.
Neno la Mungu ni lipi?
Mungu ndiye aliyeweka Class, kisha akasema Watu waoane kwa kufanana(kwa classes).
 
Waswahili husema "kuchamba kwingi kuondoka na mavi". Hakika leo umeshika mavi na mkono wako wakulia.

Mpaka hapo kwa uelewa wa kawaida ni dhahiri we huna mke ama unaishi na kimada kwa muda mfupi wa chini ya mwaka.

Hakuna kanuni za kuishi na mwanamke wala umri utakaokufanya muishi kwenye ndoa kwa musa mrefu.

Mwanamke ni binadamu kama wewe, hivyo wanawke 10 hawawezi kuwa na tabia zinazofanana. Hakuna!

Ulicho andika hapo juu ni hisia zako binafsi ambazo umepata maarifa ya mitandaoni ama makaratasi ya duniani yaliyoandikwa kidhaifu na watu wadhaifu wakiweka mbele mihemuko yao, utashi wao, madhaifu yao na ujinga wao.

Kuna usemi moja wa kingereza kuwa "The false knowledge is dangerous than Ignorance"

Jambo kuu la kujifunza kama unataka kujifunza kutokana na sakata la shusho na ndoa yake kuwa " mwanamkw Malaya ni kama kunguru.
Umalaya ni roho inayodumu katika miili ya kundi la wasanii wanaume na wanawake!

Chukua mifano michache nchini ya wasanii wa muziki wa injili has wanawake utagundua kuna kitu cha kujifunza.

Ukiachilia makoti ya dini wanayovaa, hao wote hawana tofauti na Gigi Money.
 
Umesema kweli, Christina asingekuwa na kipaji na uzuri asingemwacha mzee Shusho. Sasa anaona atumie Uhuru wake wa fedha, kipaji, urembo wake kabla jua halijakuchwa na asimsingizie Mungu.
Yeye keshapata uhuru autumie na amwache mzee Shusho kwa heri tuu siyo kulalamika kwamba alimwoa kwa lazima bila ridhaa yake.
Wanawake wengi huachana na waume zao baada ya kupata umaarufu na fedha.
Mfano wanasiasa, wasanii etc.
Jenister alimwacha mumewe baadq ya uwaziri, mumewe alikuwa mwalimu ila hakusema kisa kawa mwanasiasa. Aliona kwa sasa hawaendani na Christine ni hivyo hivyo akae kimya mzee Shusho kwa sasa siyo type yake.
 
Yuko sahihi sana ni kweli alikuwa anaishi kwenye gereza na sasa kashapata uhuru wake.
 
Sema mafundisho ya Kanisani ndio husema Ndoa ya kikristo haivunjiki lakini hakuna sheria ya namna hiyo
Imani ya Christina Shusho inatokana na haya mafundisho. Sasa labda atuambia ameachana na hii imani ya kikristo hapo tutamuelewa, kwenye maamuzi yake. UFeminist, gender Equality hauendani na imani ya kikristo 🤔
 
Sijui umeandika takataka gani hapa ila kwa kifupi ulichoandika sio uhalisia wa maisha ya mwanaume na mwanamke ni mtazamo wako.

Umelitazama hili swala kwa jicho la mwanamke sana (emotional)badala ya kulitazama kiume (logical).

Uhuru kwa mwanamke humaanisha kuishi bila mipaka na kufanya lolote ambalo akili yake itamwambia atake kulifanya. Ila usisahau kitu kimoja, hakunaga uhuru bila mipaka na kuwajibika na matendo yako utakayojiamulia.

Kuna gharama kubwa sana kimaisha kwa mwanaume au mwanamke kuishi namna anavyotaka kinyume na matakwa ya jamii kuwataka kujinga maisha ndani ya ndoa.
 
Huhitaji akilili kubwa kuelewa huyu MTU ameandika kitu anachokielewa na huyu ameandika kitu ambacho Hana uelewa nacho amendikia ushabiki tu
Pia ushauri sio maagizo
Haya ni maoni yako binafsi, sitayaingilia
Hao waliopitisha hiyo Sheria na huo utaratibu wa miaka 18 hawakuweka tu Kama unavyoamua kujiandikia tu
Huo ni umri ambao MTU anaweza kufanya maamuzi yake mwenye
Yeye anasema alifanyiwa maamuzi. Na hapo ndipo udogo wake ulipojitokeza. Wazazi ndio walifanya hayo. Hayo ni madai yake
Kisheria ndoa hatangazwa siku 21 ,
Na ndoa za kikiristo Zina taratibu nyingi sio kitendo Cha siku moja
Huo muda wote huyo dada alikuwa na nafasi ya kufanya maamuzi yake mwenyewe
Huko vijijini ulisikia wapi ndoa inatangazwa kwa hizo siku 21? Hujawahi sikia ndoa za mikeka?

Inaonyesha alikuwa na tamaa zake binafsi kwa huyo mume wake akamua kuishi naye 75kinafiki kwa miaka yote ambao baada ya kuzipata anaona Hana maana Tena kwake

Haya ni mawazo yako ambayo hayana msingi wowote. Ushaambiwa wazazi. Ndio walifanya hayo kwa hiyo kama ni tamaa ungesema wazazi wake ndio walikuwa na tamaa.
Na ukishaolewa kikiristo Hana utaratibu wa kuachana kwa sababu ya HUDUMA au wito
Wito na HUDUMA ya kwanza kwa mwanamke ni ndoa yake labda aamue kutokuolewa
Kuwa mkristo haimaanishi umefunga ndoa ya kikristo. Wapo wakrito kibao ambao wamefunga ndoa za kimila na kiserikali.

Sara aliishi na mume wake Kama bwana wake na Sara alikuwa akimtii
Kwa sababu Ibrahim alikuwa mwanaume mwenye haki(rafiki wa Mungu) mtu mwema.
Katafute maana ya mwanaume kuwa bwana kwa mke wake
Uone tofauti iliyopo
Pia kikiristo anayependa ni mwanaume sio mwanamke
Mwanamke anaamriwa na biblia kumtii mume wake.
Sio kila mkristo hufunga ndoa ya Kikristo. Kibiblia mwanamke anapenda na lazima aulizwe na anahiyari ya kukubali au kukataa
Siku nyingine ongee mada unazoziwezaa mkuu
Usitafute ushabiki wa Mfumo mpya wa kutaka kumweka mwanamke nafasi moja na mwanaume

Mwanamke na mwanaume ni mwili mmoja. Wanapokuwa kwenye ndoa huwa katika nafasi moja.
Labda kama hujui maana ya ndoa.
 
Kwa hiyo kwa uelewa wako, Mwanamke hana maamuzi wa nani ampende na amwoe?

Kwa uelewa wako mwanamke hana maamuzi na haki ya kudai talaka?,

Kwa uelewa wako mwanamke hana haki ya kupigania ndoto zake?
 
Mwamba anataka wanawake nao wawe wanatongoza kama wanaume na wawe wanapanga tarehe za harusi ndo uhuru anaouongelea
 
jamaa ana mindset za mpinga kristo...yani katumia weakness ya shusho kuja kupotosha umma kuhusu ndoa...Ninachoamini SHUSHO is Human being can make a MISTAKE hata yeye anaweza kwasasa asijue kama anakosea coz Kazi ya shetani sometimes kujiugeuza malaika na kukuletea false massage kama aliyoletewa shusho kwa kusema katumwa na roho mtakatifu kumbe is WRONG maana anajua akimtumia yeye ataweza kusepa na kundi la watu kuamini ndoa is BAD thing na wnawake wengi wakamfuta anyways dua zangu ni MUNGU amfungue shusho kwenye battle of mind aliyonayo kwa sasa to save her marriage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…