Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimeipenda hiiUmeboronga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiiUmeboronga sana.
Mkuu Steve,kilichomaanishwa zaidi ni sifa za nafsi zaidi zinazobeba Character ya mtu kama upole,utu,hekima,kupenda ibada,utii,unyenyekevu nk...
Mkuu unaanzaje kusema mwingine anateseka?Uhuru bila kufanya uhalifu wala dhambi ndio huitwa Uhuru.
Sasa mwanamke kuwa huru kwa nini baadhi ya Watu huona shida? Nîni wanafaidika wanawake wanapoteseka kihisia, kiakili, kiroho na kimwili?
Najua wapo wanaume pia wanateseka kwa kasumba na dhana potofu kwa kisingizio cha uanaume.
Mfano, umenyeke na kuteseka kutafuta pesa ili umhudumie Mwanamke ambaye sio mkeo na huishi naye. Huo ni unyanyasaji
Jambo ulilokubali kulifanya zaidi ya miaka 20 leo unasema ni utumwa na kwa akili yako unaona ni sawa kabisaKama alikubali bila kulazimishwa hilo halina Tatizo, ikiwa ni kinyume na hapo huo ni utumwa.
Umeelewa mada lakini mkuu?
Naomba majibu kwanza ya maswali yangu.Kulazimishwa
Umeandika vitu vingi ambavyo kwenye maisha ya uhalisia havina ukweli 100%Na ndio maana kwa Wanaume ambao wamekuwa waaminifu kwa Mungu na kujenga naye mahusiano mazuri Mungu huwa anawapa wake wanaofanana nao usije kutegemea wewe malaya ukapewa mwanamke anajitunza na mtii NEVER labda huyo mwanaume aje akengeuke mwenyewe badae kwa kumuacha MUNGU
Chief kichwa yako sometime haiko sawa kabisa,,, hivi huwa unaandika kwanza ndio unawaza au unawaza ndio unaandika?Naam.
Sheria nyingi za dunia hasa za ndoa nyingi zipo kitapeli na kidhulma.
Mfano, sheria ya Wake wengi alafu muda huohuo hakuna Waume wengi.
Kwa sisi Watibeli tunaita huo ni utapeli
Ikiwa hujui amebadilisha Mungu anayemtumikia, bas haupaswi kuzungumza chochote kumuhusu acha wenye kutaka kumsaidia eidha Kwa kumwombea au Kwa namna yoyote watafanya hivyo...Mkuu, mada imetolewa kulingana na maelezo ya shusho mwenyewe. Kuhusu uhakika hilo sio juu yetu. Tunajadili kile ambacho amekifanya na kile ambacho ndani ya jamii tunakuomba.
Shusho ametoa hoja zake. Hoja kuu ni hizi za kuachana na mumewe;
1. Alilazimishwa kuolewa na wazazi
2. Kutimiza ndoto yake ya kumtumikia Mungu.
Mada yangu imejikita katika hoja yake ya kwanza kuwa uhuru wake wa kuchagua mwenza uliingiliwa.
Na hiki anachokifanya ni matokeo tuu ya kile alichotaka ni siku nyingi ajikomboe apate uhuru wake.
Kuhusu Mungu wake hilo silijui. Sijui anamtumikia mungu yupi na kama amebadili Mungu pia huyo mungu wake mpya simjui. Hapa ninajadili vitu vilivyowazi na dhahiri.
Hoja ya uhakika wa kupendwa au kutokupendwa hilo wala sio jambo gumu. Kujua mtu anayekupenda ni rahisi mno.
Kuhusu kuchapiwa hiyo haipo ndani ya uhuru wangu. Kila mtu anahaki ya kutumia mwili wake atakavyo. Hiyo ni Haki. Lakini kama nikijua mke wangu anachapwa yaani ametumia uhuru wake kutumia mwili wake kula na mtu mwingine mimi nami nitafanya maamuzi yangu ambayo hayataingilia uhuru wa mtu mwingine na wala kuvunja sheria za nchi na Mungu ninayemuamini.
Huo ni mtizamo wako wakijingaWatoto ndiyo wanadhani upendo wa mwanamke na mwanaume huja automatically. Ukiwa mtu mzima utajua watu wanapendeana, pesa, sura, matako, elimu, tabia, macho, swaga, umaarufu, nk nk. Na anayempendea mtu pesa na anayempendea mwingine matako hawana tofauti. Hakuna mwenye upendo wa kweli zaidi ya mwingine.
Mkuu unaanzaje kusema mwingine anateseka?
Unawezaje kuwasemea kuwa wanateseka.
Kwaiyo
Mwanamke wangu ambae nimezuia asichakalike kwenye ajira na kazi za kitumwa huko nje.
Badala yake nimemlazimisha alee watoto wetu nyumbni
Asimamie mali na kuhakikissha kila kitu kinaenda sawa kwenye familia
Kuanzia malezi ,afya na kila kitu kiwe on point kweny familia.
Nini anachoambulia kutoka kwangu
Love
Equal share ya mapato yetu
Support kutoka kwa watoto wetu
Na mkataba huu ni wa maisha.
Swali .
Feminist mnashida gani na wanawake ambao wameamua kuwa traditinal???
Tatizo lipo wapi hapo?
Sio tu haiko sawa bali ni mtoto ambaye chochote kinachokuja kichwani kwake anakiandakia uziChief kichwa yako sometime haiko sawa kabisa,,, hivi huwa unaandika kwanza ndio unawaza au unawaza ndio unaandika?
Unahakika gani kama amenyanyashwaWazazi wake,kwao utatuma pesa na kupajenga wewe? Siku haupo na umekufa nani atalea watoto wako?
Uwezo wa kumpa bàsic need katika kiwango kizuri <standard * unacho? Au ndio nyama mara moja kwa mwezi?
Achana na feminists Kwa sababu hapa hawapo.
Dhulma na unyanyasaji sio traditional..
Hujiulizi kwa nini hao wanawake unaowaita Traditional wakipewa elimu au wakipata pesa wanawakimbia waume zao?
Hiyo pekee ingetosha kukuonyesha kuwa hao wanaokubaliana na manyanyaso au mfumo huo ni kwa vile hawana optional yoyote ila wakipata nafasi ndio haya ya kina Shusho.
Kabla ya mwaka 1961 Tanganyika raia wake walikuwa utumwani. Unataka kuniambia walkuwa wanafanya kazi kwa kupenda? Historia haisemi jinsi gani wazee walikuwa wakichapwa Viboko?Jambo ulilokubali kulifanya zaidi ya miaka 20 leo unasema ni utumwa na kwa akili yako unaona ni sawa kabisa
Kama alilazimishwa na wazazi,ina maana kwa sasa wamefariki kiasi kwamba hawawezi kumlazimisha tena kuendelea kuwa na yule aliyeliwa mahali yake?Shusho ametoa hoja zake. Hoja kuu ni hizi za kuachana na mumewe;
1. Alilazimishwa kuolewa na wazazi
2. Kutimiza ndoto yake ya kumtumikia Mungu.
Ikiwa hujui amebadilisha Mungu anayemtumikia, bas haupaswi kuzungumza chochote kumuhusu acha wenye kutaka kumsaidia eidha Kwa kumwombea au Kwa namna yoyote watafanya hivyo...
Ni BIBLIA TAKATIFU hiyohiyo hairusu Mwanamke kuwa Mchungaji na ni kitu Shusho anafanya.
Kuna Wanawake wangapi wameolewa na wanaume hawakuwapenda na wakaishia kupendana mpaka maiti...
Bibi zetu walikuwa wanabebwa kilazima na wanafungiwa ndani na ndio ndoa mpaka kifo.
Acha kuyapaka maisha rangi Robert.
Na tunamuaminije kuwa alilazimishwa?
Kwa hivyo Mzee Shusho ana kesi ya kujibu?
Wewe kijana ebu waache wenye mzigo wa kumsaidia Shusho watamsaidia.
Ila hata wewe yawezekana ulikuwa humpendi mke wako sa akakunasa Kwa mbinu anazojua.
Na wewe chemistry ndiyo vigezo vyako. Unapenda mtu mnayeelewana mkiongea, mwenye akili kama zako. Hauna tofauti na anayependea mwanamke sura au tako. Kama sura inazeeka pia hali za maisha zinaweza kuja fanya msiwe na hiyo chemistry. Watu kibao wenye chemistry walikuja kuachana. Grow up, hakuna upendo automatic.Huo ni mtizamo wako wakijinga
Mimi sipendei mwanamke tako, au sura is all about chemistry
Kuna mda utafika hiyo sura uliyopenda itakua na makunyanzi,
Ulivyosema unapendea mtu kwa sababu ya swaga basi itoshe kusema bado wewe ni mtoto achana na maisha ya movie
Alafu tofautisha matamanio na upendo ni vitu viwili tofauti hivyo ulivyoongelea ni matamanio na sio upendo
Wote ni watumwa hakuna mwanadamu aliyekua huru kwa asilimia 100 tunatofautiana viwango tu vya utumwaKabla ya mwaka 1961 Tanganyika raia wake walikuwa utumwani. Unataka kuniambia walkuwa wanafanya kazi kwa kupenda? Historia haisemi jinsi gani wazee walikuwa wakichapwa Viboko?
mkuu,
Mimi sifahamu kama alilazimishwa au Laah, ila yeye anadai alilazimishwa hivyo mtoa mada amesimamia hapo kwamba alilazimishwa.
Kuachana ni jambo la kawaida usiogope kufeli kwenye maisha ni sehemu ya maishaNa wewe chemistry ndiyo vigezo vyako. Unapenda mtu mnayeelewana mkiongea, mwenye akili kama zako. Hauna tofauti na anayependea mwanamke sura au tako. Kama sura inazeeka pia hali za maisha zinaweza kuja fanya msiwe na hiyo chemistry. Watu kibao wenye chemistry walikuja kuachana. Grow up, hakuna upendo automatic.