Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

kilichomaanishwa zaidi ni sifa za nafsi zaidi zinazobeba Character ya mtu kama upole,utu,hekima,kupenda ibada,utii,unyenyekevu nk...
Mkuu Steve,
Una maana gani kusema hapo palimaanishwa hizo sifa?
Kwani ni nani aliyetoa maagizo ya mti fulani usitumike lakini mwanamke akadanganywa na kumlaghai mume wake.

Huoni hizo sifa ulizozitoa ni tofauti na tukio lililotokea baadae?
 
itoshe kusema wewe ni boga wewe ni hasara taslimu
mwanamke lazima achague moja kuoa au kuolewa na akioa basi mwanaume wake akubali kutokua huru.
unawezaje kuishi na mwanmke akiwa huru yaani ukimfokea tu akatoe chupi kwa hasira nje huko facken mmoja wewe futa uzi.
 
Uhuru bila kufanya uhalifu wala dhambi ndio huitwa Uhuru.

Sasa mwanamke kuwa huru kwa nini baadhi ya Watu huona shida? Nîni wanafaidika wanawake wanapoteseka kihisia, kiakili, kiroho na kimwili?

Najua wapo wanaume pia wanateseka kwa kasumba na dhana potofu kwa kisingizio cha uanaume.

Mfano, umenyeke na kuteseka kutafuta pesa ili umhudumie Mwanamke ambaye sio mkeo na huishi naye. Huo ni unyanyasaji
Mkuu unaanzaje kusema mwingine anateseka?
Unawezaje kuwasemea kuwa wanateseka.

Kwaiyo
Mwanamke wangu ambae nimezuia asichakalike kwenye ajira na kazi za kitumwa huko nje.

Badala yake nimemlazimisha alee watoto wetu nyumbni
Asimamie mali na kuhakikissha kila kitu kinaenda sawa kwenye familia
Kuanzia malezi ,afya na kila kitu kiwe on point kweny familia.

Nini anachoambulia kutoka kwangu
Love
Equal share ya mapato yetu
Support kutoka kwa watoto wetu
Na mkataba huu ni wa maisha.

Swali .
Feminist mnashida gani na wanawake ambao wameamua kuwa traditinal???

Tatizo lipo wapi hapo?
 
Na ndio maana kwa Wanaume ambao wamekuwa waaminifu kwa Mungu na kujenga naye mahusiano mazuri Mungu huwa anawapa wake wanaofanana nao usije kutegemea wewe malaya ukapewa mwanamke anajitunza na mtii NEVER labda huyo mwanaume aje akengeuke mwenyewe badae kwa kumuacha MUNGU
Umeandika vitu vingi ambavyo kwenye maisha ya uhalisia havina ukweli 100%
nimeshuhudia ndoa ya mtu mwanamume alikuwa dereva wa malori Mke alikuwa bamedi wakakutana bar, huu mwaka wa Tisa na watoto watatu.

Hivyo vitu unavyoviongea ni IMANI tu ambazo kiuhalisia vipo kwa asilimia ndogo.
 
Mkuu, mada imetolewa kulingana na maelezo ya shusho mwenyewe. Kuhusu uhakika hilo sio juu yetu. Tunajadili kile ambacho amekifanya na kile ambacho ndani ya jamii tunakuomba.

Shusho ametoa hoja zake. Hoja kuu ni hizi za kuachana na mumewe;
1. Alilazimishwa kuolewa na wazazi
2. Kutimiza ndoto yake ya kumtumikia Mungu.

Mada yangu imejikita katika hoja yake ya kwanza kuwa uhuru wake wa kuchagua mwenza uliingiliwa.
Na hiki anachokifanya ni matokeo tuu ya kile alichotaka ni siku nyingi ajikomboe apate uhuru wake.

Kuhusu Mungu wake hilo silijui. Sijui anamtumikia mungu yupi na kama amebadili Mungu pia huyo mungu wake mpya simjui. Hapa ninajadili vitu vilivyowazi na dhahiri.

Hoja ya uhakika wa kupendwa au kutokupendwa hilo wala sio jambo gumu. Kujua mtu anayekupenda ni rahisi mno.

Kuhusu kuchapiwa hiyo haipo ndani ya uhuru wangu. Kila mtu anahaki ya kutumia mwili wake atakavyo. Hiyo ni Haki. Lakini kama nikijua mke wangu anachapwa yaani ametumia uhuru wake kutumia mwili wake kula na mtu mwingine mimi nami nitafanya maamuzi yangu ambayo hayataingilia uhuru wa mtu mwingine na wala kuvunja sheria za nchi na Mungu ninayemuamini.
Ikiwa hujui amebadilisha Mungu anayemtumikia, bas haupaswi kuzungumza chochote kumuhusu acha wenye kutaka kumsaidia eidha Kwa kumwombea au Kwa namna yoyote watafanya hivyo...

Ni BIBLIA TAKATIFU hiyohiyo hairusu Mwanamke kuwa Mchungaji na ni kitu Shusho anafanya.

Kuna Wanawake wangapi wameolewa na wanaume hawakuwapenda na wakaishia kupendana mpaka maiti...

Bibi zetu walikuwa wanabebwa kilazima na wanafungiwa ndani na ndio ndoa mpaka kifo.

Acha kuyapaka maisha rangi Robert.

Na tunamuaminije kuwa alilazimishwa?

Kwa hivyo Mzee Shusho ana kesi ya kujibu?

Wewe kijana ebu waache wenye mzigo wa kumsaidia Shusho watamsaidia.

Ila hata wewe yawezekana ulikuwa humpendi mke wako sa akakunasa Kwa mbinu anazojua.
 
Watoto ndiyo wanadhani upendo wa mwanamke na mwanaume huja automatically. Ukiwa mtu mzima utajua watu wanapendeana, pesa, sura, matako, elimu, tabia, macho, swaga, umaarufu, nk nk. Na anayempendea mtu pesa na anayempendea mwingine matako hawana tofauti. Hakuna mwenye upendo wa kweli zaidi ya mwingine.
Huo ni mtizamo wako wakijinga
Mimi sipendei mwanamke tako, au sura is all about chemistry

Kuna mda utafika hiyo sura uliyopenda itakua na makunyanzi,

Ulivyosema unapendea mtu kwa sababu ya swaga basi itoshe kusema bado wewe ni mtoto achana na maisha ya movie

Alafu tofautisha matamanio na upendo ni vitu viwili tofauti hivyo ulivyoongelea ni matamanio na sio upendo
 
Mkuu unaanzaje kusema mwingine anateseka?
Unawezaje kuwasemea kuwa wanateseka.

Kwaiyo
Mwanamke wangu ambae nimezuia asichakalike kwenye ajira na kazi za kitumwa huko nje.

Badala yake nimemlazimisha alee watoto wetu nyumbni
Asimamie mali na kuhakikissha kila kitu kinaenda sawa kwenye familia
Kuanzia malezi ,afya na kila kitu kiwe on point kweny familia.

Wazazi wake,kwao utatuma pesa na kupajenga wewe? Siku haupo na umekufa nani atalea watoto wako?
Uwezo wa kumpa bàsic need katika kiwango kizuri <standard * unacho? Au ndio nyama mara moja kwa mwezi?
Nini anachoambulia kutoka kwangu
Love
Equal share ya mapato yetu
Support kutoka kwa watoto wetu
Na mkataba huu ni wa maisha.

Swali .
Feminist mnashida gani na wanawake ambao wameamua kuwa traditinal???

Tatizo lipo wapi hapo?

Achana na feminists Kwa sababu hapa hawapo.
Dhulma na unyanyasaji sio traditional..

Hujiulizi kwa nini hao wanawake unaowaita Traditional wakipewa elimu au wakipata pesa wanawakimbia waume zao?
Hiyo pekee ingetosha kukuonyesha kuwa hao wanaokubaliana na manyanyaso au mfumo huo ni kwa vile hawana optional yoyote ila wakipata nafasi ndio haya ya kina Shusho.
 
Mleta mada bwana,
Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na biologically ni sawa, hiyo haipo sawa kwa mwanamke. Ke hawezi kuoelewa na ME zaidi ya mmoja akawamudu, hawezi...so kibaiolojia me anaweza kumiliki ke zaidi ya mmoja, tukija kwenye imani ndio zilipo tofauti, of which nakubaliana na imani zinazosema tuwe na ke zaidi ya mmoja endapo tutaweza kutimiza haja zao(kimwili na kiuchumi).
 
Wazazi wake,kwao utatuma pesa na kupajenga wewe? Siku haupo na umekufa nani atalea watoto wako?
Uwezo wa kumpa bàsic need katika kiwango kizuri <standard * unacho? Au ndio nyama mara moja kwa mwezi?

Achana na feminists Kwa sababu hapa hawapo.
Dhulma na unyanyasaji sio traditional..

Hujiulizi kwa nini hao wanawake unaowaita Traditional wakipewa elimu au wakipata pesa wanawakimbia waume zao?
Hiyo pekee ingetosha kukuonyesha kuwa hao wanaokubaliana na manyanyaso au mfumo huo ni kwa vile hawana optional yoyote ila wakipata nafasi ndio haya ya kina Shusho.
Unahakika gani kama amenyanyashwa
Unatoaje conclusion kwa kusikiliza upande mmoja vip bwana wake ulishamsikiliza acha upotoshaji
 
Jambo ulilokubali kulifanya zaidi ya miaka 20 leo unasema ni utumwa na kwa akili yako unaona ni sawa kabisa
Kabla ya mwaka 1961 Tanganyika raia wake walikuwa utumwani. Unataka kuniambia walkuwa wanafanya kazi kwa kupenda? Historia haisemi jinsi gani wazee walikuwa wakichapwa Viboko?

mkuu,

Mimi sifahamu kama alilazimishwa au Laah, ila yeye anadai alilazimishwa hivyo mtoa mada amesimamia hapo kwamba alilazimishwa.
 
Shusho ametoa hoja zake. Hoja kuu ni hizi za kuachana na mumewe;
1. Alilazimishwa kuolewa na wazazi
2. Kutimiza ndoto yake ya kumtumikia Mungu.
Kama alilazimishwa na wazazi,ina maana kwa sasa wamefariki kiasi kwamba hawawezi kumlazimisha tena kuendelea kuwa na yule aliyeliwa mahali yake?

Ninachohisi jamaa alivutiwa na ule umaarufu wa wimbo wa ''UNIKUMBUKE''
akaingia kingi,leo nazi imepata mkunaji inataka kuhamia huko,mwenye kibao anatupiwa lawama kama zote.
 
Ikiwa hujui amebadilisha Mungu anayemtumikia, bas haupaswi kuzungumza chochote kumuhusu acha wenye kutaka kumsaidia eidha Kwa kumwombea au Kwa namna yoyote watafanya hivyo...

Ni BIBLIA TAKATIFU hiyohiyo hairusu Mwanamke kuwa Mchungaji na ni kitu Shusho anafanya.

Kuna Wanawake wangapi wameolewa na wanaume hawakuwapenda na wakaishia kupendana mpaka maiti...

Bibi zetu walikuwa wanabebwa kilazima na wanafungiwa ndani na ndio ndoa mpaka kifo.

Acha kuyapaka maisha rangi Robert.

Na tunamuaminije kuwa alilazimishwa?

Kwa hivyo Mzee Shusho ana kesi ya kujibu?

Wewe kijana ebu waache wenye mzigo wa kumsaidia Shusho watamsaidia.

Ila hata wewe yawezekana ulikuwa humpendi mke wako sa akakunasa Kwa mbinu anazojua.

Mkuu naona unatoa maelezo bila ya Fact. Hapa tunazungumzia facts sio porojo
 
Huo ni mtizamo wako wakijinga
Mimi sipendei mwanamke tako, au sura is all about chemistry

Kuna mda utafika hiyo sura uliyopenda itakua na makunyanzi,

Ulivyosema unapendea mtu kwa sababu ya swaga basi itoshe kusema bado wewe ni mtoto achana na maisha ya movie

Alafu tofautisha matamanio na upendo ni vitu viwili tofauti hivyo ulivyoongelea ni matamanio na sio upendo
Na wewe chemistry ndiyo vigezo vyako. Unapenda mtu mnayeelewana mkiongea, mwenye akili kama zako. Hauna tofauti na anayependea mwanamke sura au tako. Kama sura inazeeka pia hali za maisha zinaweza kuja fanya msiwe na hiyo chemistry. Watu kibao wenye chemistry walikuja kuachana. Grow up, hakuna upendo automatic.
 
Kabla ya mwaka 1961 Tanganyika raia wake walikuwa utumwani. Unataka kuniambia walkuwa wanafanya kazi kwa kupenda? Historia haisemi jinsi gani wazee walikuwa wakichapwa Viboko?

mkuu,

Mimi sifahamu kama alilazimishwa au Laah, ila yeye anadai alilazimishwa hivyo mtoa mada amesimamia hapo kwamba alilazimishwa.
Wote ni watumwa hakuna mwanadamu aliyekua huru kwa asilimia 100 tunatofautiana viwango tu vya utumwa

Wewe mwenyewe una uhuru kwa asilimia 100 unauhuru wenye mipaka
 
Na wewe chemistry ndiyo vigezo vyako. Unapenda mtu mnayeelewana mkiongea, mwenye akili kama zako. Hauna tofauti na anayependea mwanamke sura au tako. Kama sura inazeeka pia hali za maisha zinaweza kuja fanya msiwe na hiyo chemistry. Watu kibao wenye chemistry walikuja kuachana. Grow up, hakuna upendo automatic.
Kuachana ni jambo la kawaida usiogope kufeli kwenye maisha ni sehemu ya maisha

Alafu mbaya zaidi hujui hata chemistry nayoongelea
 
Back
Top Bottom