Cha upumbavu wa kiniita mjinga hakuna asiye jua kutukana.Hivo mm sjasema kiongozi. Jiuliza kabla mama yake kua rais mbona hakununua, mbona hakua mfanyabiashara, mbona hakucheza casino za 1B mbona hakua na makampun yenye majina ya kichina.
Ww una prove ni wale wajinga wanaoliwa na wanaoturudisha nyuma huna elim alafu mjinga. Uwe na asubuhi njema chief
Exactly 💯Wakulaumiwa ni JWTZ, TISS
Mkuu hujaona ya leo???Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Inauma zaidi ya sana mkuu na bado kuna watanzania wanatetea huu ufisadiMkuu hujaona ya leo???
Buggati ya 20B...inasukumwa na mtoto wa mwenye nchi...... wallahy inaumiza.
Unazo details zake zozote,may be biashara gani anafanya,umri wake in short wajihi wake kabla mama yake hajakuwa raisi?Una ushahidi gani wa kuwa hiyo gari ameinunua kwa kodi za wananchi?
Kwani kuwa mtoto wa rais kunamuondolea haki ya kuwa mfanya biashara hatimaye akaishi maisha ya kifahari?
Aahh...najionea tabu tu.Mbona kama umeshakata tamaa chief
Nisamehe mkuu unajua leo nilikua napitia magroup ya ccm ambayo mm Nimo nikaona huo ufisadi kwaio nina hasira sana. Nisamehe sana mkuumi ndo nimemjibu toyeye I think hamjanielewa
Ye kasema ht ww ukipata pesa utabadirika.....
Ndo nimemuuliza mbona hatusikii watt wengine wa wakubwa wakifanya huo upuuzi? Au tukae kimya sbb watu wakipata pesa watabadirika?
Elimu , Elimu , ElimuInauma zaidi ya sana mkuu na bado kuna watanzania wanatetea huu ufisadi
Io lazima ila usichoke kupaza sautu mungu sio kiziwiAahh...najionea tabu tu.
Hilo swali ulitakuwa kuniuliza iwapo hilo gari lingekuwa linamilikiwa na samia mwenyewe na sio mtoto wake.Kwa mshahara wa raisi wa milioni 50 sijui ni 55... inawezekana vipi mtoto amiliki gari la 3B?
Tafuta hela.Kuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Nakuelewa sn nimetoka page ya insta huko ,ht km kina riz walifanya kipindi hiko sio Kwa kiwango hiki ,too much 🙌Nisamehe mkuu unajua leo nilikua napitia magroup ya ccm ambayo mm Nimo nikaona huo ufisadi kwaio nina hasira sana. Nisamehe sana mkuu
Unaonaje ukipambana nae wewe mwenyewe kwani ni wazi unamjua vizuriKuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Kutoa tuhuma bila ushahidi ndo ujinga na upumbavu mwenyewe.Toa ujinga wako hapa, wewe ni sehemu ya ujangili tupu, watanzania wote ni wajinga wewe pekee ako yako ndiyo una akili?
Siumfuate upambane nae una lazimisha watu kivipi?Kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla maza ake hajawa Rais? madudu anayofanya Rostam Azizi kwenye migodi na watanzania sababu ya upumbavu wetu tumelala usingizi
Haki haipiganiwi na mmoja kama tunavomuachia Tundu Lissu mana yake ikitokea nimefanikiwa nitakuja kua kama Hitler alivofanya pale Ujerumani. Sasa faida iko wapiUnaonaje ukipambana nae wewe mwenyewe kwani ni wazi unamjua vizuri
Mm pia sjakulazimisha uje apa u comment mjinga weweSiumfuate upambane nae una lazimisha watu kivipi?
ni kweli kabisa taifa lina vijana we hovyooNilidharau Ile post na aliyeiandika
Nikagundua Bado tuna safari ndefu
watoto wa lissu wapo wapi?Mm sio mjinga kiongozi mm bado ni mwanafunzi na naumia kuwaona watoto wa maskin tunavopata tabu katika suala Zima la elimu
Asante