Nyinyi mnapo leta tuhuma mbona hamziambatanishi na details zaidi ya maneno tu?Unazo details zake zozote,may be biashara gani anafanya,umri wake in short wajihi wake kabla mama yake hajakuwa raisi?
Hana biashara za kueleweka.Una ushahidi gani wa kuwa hiyo gari ameinunua kwa kodi za wananchi?
Kwani kuwa mtoto wa rais kunamuondolea haki ya kuwa mfanya biashara hatimaye akaishi maisha ya kifahari?
Viwanda wanaviuaa mwisho wanafanya makanisa wenzetu wanavifufua au kuvigeuza majengo mengine yenye maslahi ya wananchi wote. Mdano pale south Bend, indiana Us mayor wao Pete ButigiegNakuelewa sn nimetoka page ya insta huko ,ht km kina riz walifanya kipindi hiko sio Kwa kiwango hiki ,too much 🙌
Mpk unsjiuliza Kwann basi wasifungue viwanda Kwa hizo pesa waajiri watz?
Hoja mfu kabisa hizi na ndiyo kwanza asubuhi ilitegemewa akili yako iwe active lakini imekaa kama ya maiti,ok sawa diamond ni mwanamuziki na wote hata ukienda kumuuliza mtoto mdogo anajua so anastahiki utajiri vipi mtoto wa raisi anafanya nini kinachojulikana na watu hata kuwa na ukwasi wote huo?Cha upumbavu wa kiniita mjinga hakuna asiye jua kutukana.
Kwa hiyo sasa hivi tunatakiwa tumuhoji diamond kuwa ni kwa nini alikuwa msainii tajiri na maarufu kipindi cha kikwete na sio kipindi cha mkapa?
Au na ww tukuhoji ni kwanini hukuweza kupata mali fulani kipindi fulani ila kwanini uipate sasa hivi?
Hapa kinacho hitajika ni ushahidi wa hizi tuhuma zenu tofauti na hapo ni vijiba vya roho vina wasumbua tu kama ilivyo kawaida ya sisi masikini,kuwa kila aliye fanikiwa ni freemason, mwizi,mfuga majini,ametoa kafara.
Ww pambania watoto wako tofauti na hapo watakuwa kama ww kushinda nitandaoni ukiwatuhumu watoto wa wenzio kuwa ni wezi.
Mtu mwenye elimu hawezi kuparamia kitu bila kupata ushahidi tosha iwapo ni la kweli au sio kweli .Elimu , Elimu , Elimu
Tunapewa elimu duni ya kukaririshwa hatuwezi kuhoji......na anayehoji anatekwa
Unataka aishi kma digi digi kisa mama ake ni rais bhc asitumie ela?Kuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Ww biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?Hana biashara za kueleweka.
Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjuaWw biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?
Au watu wote wanao miliki magari na majumba ta bei mbaya unajua biashara wanazo zifanya?
Hapa Tz kuna Watz wangapi wanamiliki magari ya bei mbaya kuliko hata hilo je unajua biashara zao?Hoja mfu kabisa hizi na ndiyo kwanza asubuhi ilitegemewa akili yako iwe active lakini imekaa kama ya maiti,ok sawa diamond ni mwanamuziki na wote hata ukienda kumuuliza mtoto mdogo anajua so anastahiki utajiri vipi mtoto wa raisi anafanya nini kinachojulikana na watu hata kuwa na ukwasi wote huo?
Kuwa maskini hakumfanyi mtu asihoji utajiri wa mwenzake kama ana fact,mtoto wa raisi analipia bima gari kwa mwaka mill 55 haikushangazi hii?
Nina kuuliza biashara zote za watz una zijua ?ww unajua mm nafanya biashara gani na nina miliki aset kiasi gani?Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
Details ulete wewe unayepinga ili tukuamini ila sisi moja kwa moja tunaamini hakuna Mtanzania wa kawaida (labda mfanyabiashara mkubwa sanaa) anayeweza kufanya anayofanya mtoto wa kiongozi wa nchi.Nyinyi mnapo leta tuhuma mbona hamziambatanishi na details zaidi ya maneno tu?
Leteni ushahidi wa mnayo yaongea ili tuhuma zenu zipate nguvu.
Tume mtafiti Abdul kama mtoto wa Rais. Tukagundua hana vyanzo vya uhakika vya kumletea ukwasi huo wa haraka alionao.Ww biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?
Au watu wote wanao miliki magari na majumba ta bei mbaya unajua biashara wanazo zifanya?
mtu mnafiki mzushi hua anapenda kutumia wingi ili apate kuhalalisha uzushi ona hii nyumbu ondoa neno tuna weka unaNdio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
Sisi tuna deal na public figure kwa maslahi mapana ya taifa.Nina kuuliza biashara zote za watz una zijua ?ww unajua mm nafanya biashara gani na nina miliki aset kiasi gani?
Dada angu siyo kila jambo lazima uchangie mengine acha yakupiteSiumfuate upambane nae una lazimisha watu kivipi?
We ni mjinga sn huna akili, kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla ya maza ake kuwa Rais? kwamba watanzania wote hawaoni isipokuwa wewe na mumeo ndiyo mnaona?Kutoa tuhuma bila ushahidi ndo ujinga na upumbavu mwenyewe.
Tuhuma bila ushahidi hubaki kama uvumi tu kama kipindi cha kikwete ambacho kila kampuni na kituo cha mafuta kilikuwa cha Riziwan.
Kwani ww mali zako ulizo nazo ulinunuliwa na wazazi wako?
Hayo madai yenu yanaweza kuwa ya kweli lakini kinacho hitajika ni ushahidi.
Unakuta anawapa rushwa rushwa hizi ndogo ndogo za kijinga ndiyo maana wanakuwa vipofu hawa wapumbavu