Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

mi ndo nimemjibu toyeye I think hamjanielewa
Ye kasema ht ww ukipata pesa utabadirika.....
Ndo nimemuuliza mbona hatusikii watt wengine wa wakubwa wakifanya huo upuuzi? Au tukae kimya sbb watu wakipata pesa watabadirika?
Watoto wa Mkapa ni wafanyabiashara hakuna anayewalalamikia wala hawana huu ufisadi, watoto wa Nyerere na Magu, kwanini huyu Abdul amekuwa tajiri wa kupindukia ghafla?
 
Usipoteze muda wako kumjibu uyo ame leta hoja nzuri tatizo ana papara hajui kipi ni kipi ana quote quote tu watu na kuonyesha stress zake.
Msamehe
 
Ukisoma mada za humu utaelewa hii nchi wapumbavu ni wengi sana.

Watu wanaona raha tu kodi zao kufisadiwa kwa faida ya wachache.

Pathetic country
Elimu ya kijinga tunayopewa, pia maendeleo kuwa hisani ya Rais na siyo dira ya taifa wala takwa
 
Siku zote mtoa tuhuma ndo anaye takiwa kutoa ushahidi juu ya tuhuma anazo tuhumu na sio anaye kataa tuhuma.
 
Enzi ya kikwete,jina la Rizimoja lilikuwa kubwa sana. Enzi ya mama jina la Abdul linakuja kwa Kasi sana.

Nini kinaendelea?
Jk na Samia ni viongozi wenye bahati mbaya sana ya kuandamwa kweli kweli na haters wao.......watafanya Kila namna kujaribu kuwaharibia heshima yao ikiwemo na kuzivamia familia zao kama hivyo. Mungu ataendelea kuwalinda na kuwatunzia heshima yao kutoka kwa haya majinamizi maovu mashenzi.
 
Mm simtetei mtu mm ninacho kitaka ni ushahidi wa tuhuma basi maana madai kama haya tuliyasikia kipindi cha kikwete na Riziwan lakini badae tukagundua mengi yalikuwa ni ya uongo.
 
Ningekushauri tu ! Achana na hizi mambo kila mzazi ni bora ,maisha yako ndiyo stahiki yako ya wengine hayaba tija ...So acha wafanye wafanyavyo ..Ninachojua waafrika kazi ni kuagiza mavitu kutoka nje ili wajione wako juu.
 
We ni mjinga sn huna akili, kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla ya maza ake kuwa Rais? kwamba watanzania wote hawaoni isipokuwa wewe na mumeo ndiyo mnaona?
Acha usenge hakuna asiye jua kutukana tumia lugha ya sitaha hapa tunajadiliana hatugombani.
Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio sio lazima kila mtu awaze au angamue mambo kama ww na ndio maana ww unamhusudu Netanyau hali ya kuwa mm namuona kama mtu muovu kuwahi kuwepo hapa duniani hiyo ni mitazamo tu.

Watz wote ww bibi yako na mama yako huko kijijini wanamjua hata huyo Abdul kabla ya kuhoji utajiri wake?
Kwani huyo samia ana mtoto mmoja tu Abdul hana watoto wengine mbona wao hawaishi kama huyo Abdul au wao hawapendwi na mama yao?
Kinacho hitajika leteni ushahidi wa tuhuma zenu basi mengine ni porojo tu.
 
Mkuu, Tatizo na sisi huwa hatuna facts katika kudeal na hizo public figure kwa maslahi ya taifa, mambo tunayaleta mitandaoni kiumbea umbea halafu tunataka matokeo serious.

Mfano, kama kweli alikuwa muuza vipuli ilala kabla mama hajawa raisi, hawezi kuwa muuza vipuli yule yule baada ya mama kuwa raisi, soko lake la vipuli halitategemea tena wateja wa Ilala.

Abduli yule wa kabla mama hajawa raisi akihitaji mkopo bank hatasikilizwa kama Abduli ambaye mama ni raisi.

Inshort, hata mama yake asipompa hata mia, Abduli fursa zimefunguka na kama ana akili ya biashara hawezi kuwa Abduli yule wa nyuma tena.

Binafsi naamini tuhuma zenye ushahidi ndizo zenye maana, hizi za nadharia hazina matokeo kwetu sisi wanyonge na walipa kodi, zinabaki kuwa soga.

Mfano: Ukiamua kusemea gari la B3 aliloonekana nalo Abdul kuwa halifanani na ukwasi wake au biashara zake, basi njoo na ushahidi kuwa gari ya B3 ni mali ya Abdul maana kuendesha gari ni jambo moja na kulimiliki ni jambo jingine.

Pia kuwa na ushahidi kuwa alilinunua B3 maana kuwa na gari la B3 si lazima uwe ulilinunua kwa B3.

Mwisho kama alilinunua B3 uwe na sababu kwanini inawezekana si pesa halali maana isije ikawa mwenzako kaingia Bank katumia fursa ya kuwa mtoto wa raisi akakopeshwa B za kutosha akaamua kujizawadia gari.
Sisi tuna deal na public figure kwa maslahi mapana ya taifa.

Abdul alikua muuza vipuri vya magari ilala.
 
Kuna vitu vingine si lazima kulaumu, kwa sababu ukisimama barabarani utaona magari ya kila bei, na hao wameyanunua kutokana na uwezo wao, wapo waliokopa n.k.​
 
Kama unafikiri mtoto wa Rais ataishi maisha kama yako, basi jijue ni mjinga na mpumbavu. Kama mtoto wa Rais Mstaafu Joe Biden alienda Afrika Kusini kula bata akiwa na Special Agents 15 nini Mtoto wa Rais wa Tanzania?
 
Ulivyosema ni wivu tu unatusumbua hata yale mabulungutu ya pesa alitaka kumpa Tundu Lisu kama takrima ili asiishambulie serikali ya Mama yake ni fedha yake halali inayopatikana kutokana biashara yake ya matairi pale Kariakoo..
 
Exactly πŸ’―
Kila siku hapa nauliza Jeshi liko wapi,majibu niliyopewa πŸ™ŒπŸ™Œ

Mara ooh sisi sio km jeshi la kina Traole
Bado sielewi
Jeshi kazi yake kusimamia Katiba na Kulinda nchi ila nchi inachezewa wao wapo tu. TISS huwa hawana kazi yoyote mbele ya jeshi
 
UNGEKUWA NA HELA UNASOMESH AMTOTO WAKO INTERNATION SCHOOL, UNGEKUWA NA HELA UNAENDA HOSPITAL PRIVATE UNALIPA CASH UNGEKUWA NA HELA UNAPANDA NDEGE USIPITE KWENYE BARABARA MBOVU YOTE HAYO USINGEYAONA BRO TAFUTA HELA ACHA ENGESE HUO JARI YA KWAKO UNAUMIZA ROHO YAKO BURE\
 
Watu wanatuhumu kwa sababu ni kujihatarishia maisha yako kuanza kuhoji masuala kama hayo...
Lakini vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama vingekuwa huru, basi tungetumia hio njia unayopendekeza ya uchunguzi kufanyika...

Lakini this is Tanzania bro... acha watu wanong'one maana vyombo husika vimeshindwa kufanya kazi yao, kwa nchi za wenzetu ungesikia huyo Abdul anahojiwa...
 
Sisi tuna deal na public figure kwa maslahi mapana ya taifa.

Abdul alikua muuza vipuri vya magari ilala.
Huoni hio biashara ina faida.ndio maendeleo tunataka mpk ya mwananchi mmoja mmoja
Kaanza na vipuri saiv kajiendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…