Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Kaka utengane na wazazi wako, kisa mpenzi, usichukulie poa
 
SHAFII KANISHANGAZA, KASHITAKI KWA DKT GWAJIMA, SABABU HUYU MAMA YUMO HUMU, NGOJA TUONE ATA SOLVE VIPI?
 
sauti ya bob....
 
Hata kama wewe mwanao huwezi kumtumbukiza sehemu usiyokuwa na uhakika nayo!

Wazazi wapo sahihi!

Kama walikuwa wanadate vijana mnavyosema kwanini asijitambulishe aanze kumhudumia?

Ujinga tu
Kaka umesoma andiko lake vizuri? Alienda kujitambilisha ukweni, wakamkataa, sasa afanyeje?
 
Kama huwezi hilo basi Acha kuanzisha familia. Kwa sababu familia inahitaji watu wenye utambuzi huo.

Kwamba mkeo/mumeo ni zaidi ya yeyote.
Kwanza wazazi wenye maadili waliokulea vizuri hili lazima wawe walikufundisha
Je siku mki achana utakua kwenye, hali gani, maandiko yamesisitiza tiwaheshimu baba na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…