We mtu,ni me au Kei?Kilicho nikwaza Ni huyu bwana mkubwa kulalamika Hadi kuutangazia uma kwamba kaombwa 30,000.
Hiyo ni Siri ya ndani Kati ya wapenzi. Kama huna muambie yeye Ni binadamu.
Hawa ndio wanawasema wapenzi wao mapungufu walionayo wapenzi wao especially Yale ya ndaani ndani kabisa.
Tunza heshima ya mpenzi mke.
Oyaaa wee hii kauli ya kinyamaWote ni binadam tofaut jinsia ukiona anakufanya kama ni mtu fulani ambae hauna umuhimu kwake na wewe inatakiwa umpunguze kikatili hadi asiamini kama ndo wewe
Hahahahaha, ndio nimeelewa leoNdiyo ndiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha....................naona unataka kunikumbusha machungu ya mwaka 1989 nilipompa mrembo mmoja shilingi 4,350 kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa.Achana na mahesabu marefu hivyo Babu,Tafuta Hela elfu 30 kitu gani?sema demu kazingua Hana hisia hata kidogo na mwenzie
Hayo ndio mambo Sasa,bahati mbaya umezeeka Babu,ila tungeongea Kwa herufi kubwa najua nisingekosa ka vanguard ...najuta kuchelewa kuzaliwa๐๐๐Hahaha....................naona unataka kunikumbusha machungu ya mwaka 1989 nilipompa mrembo mmoja shilingi 4,350 kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa.
Hela hizo kwa sasa zina thamani ya zaidi ya shilingi milioni 13.5
Lakini ungejua Lugha aliyoitumia kuniomba, hata kama wewe ungekuwa Mpenzi wake lazima ungempa tu. Kuna warembo wanajua kushawishi Mjukuu ๐ค๐๐๐
Ungeipa tafsiri ya kiswahili, kichina na hata kispanyola. Naona vijana wanajisahau sana, eti 'nitajitahidi leo upate' mtu hata salam hajibu..dah!
Hahahaha......................Babu yako nimezeeka sasa, ila bila shaka utapata Vijana wenzako.Hayo ndio mambo Sasa,bahati mbaya umezeeka Babu,ila tungeongea Kwa herufi kubwa najua nisingekosa ka vanguard ...najuta kuchelewa kuzaliwa๐๐๐
Uko sahihi mwamba ni bahili na shida yake hapo kwel ni ngono na binti anamuelewa kuku wakeAjajibu kuhusu wewe kummis! Inaonekana wewe ukisema ume mmis ina maana unataka ngono, na anajua wewe ni bahili, au sound, hapo ndo anaweka maitaji
Babu wa siku hizi wanazo ila wabahili hamna mfano.Hahahaha......................Babu yako nimezeeka sasa, ila bila shaka utapata Vijana wenzako.
Maana nilisikia Vijana wa miaka yenu hii Wana hela nyingi kutuzidi sisi Vijana wa Zamani ๐คช
Inaonekana jamaa anamuelewa sana huyo dada.....dahUngeipa tafsiri ya kiswahili, kichina na hata kispanyola. Naona vijana wanajisahau sana, eti 'nitajitahidi leo upate' mtu hata salam hajibu..dah!
Basi mimi naomba 20k tu dada dimpoz๐๐Ndio hata asiitikie salamu?
Sawa kuna ambao tushawapanda vichwani.. lkn why umuonyeshe kwamba uko juu ya kichwa chake?
Umesalimiwa.. itikia.. ita babe ya kinafki, aitike. Sema shida yako ya hiyo afu30
Sasa wifi yetu pale dah ๐๐
Hata me sikupi
Kama ndo rafiki angu umeniomba nakusuta kwqnza ๐๐๐๐
Ni mpuuzi tu, japo huenda babez wake yupo kibiashara, hapa naona lugha gongana, mmoja yupo kimapenzi na mwingine yupo kazini.Inaonekana jamaa anamuelewa sana huyo dada.....dah
At the same unataka vijana wakutongoze.Dunia ilipofika patamu sana. "ukweli ukidhihiri uongo hujitenga".
Watu straight to the point. Wanapiga "bullseye".
Eeeh vijana nyinyi, oaneni, usherati na uzinzi ni uchafu.
Anaomba kavu kabisa yaaniDuh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapenzi shikamoo๐Ni mpuuzi tu, japo huenda babez wake yupo kibiashara, hapa naona lugha gongana, mmoja yupo kimapenzi na mwingine yupo kazini.
Usikute una type hayo maandishi KUTOKEA geto lako la manzese.Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
Unapenda usipopendwa!!Mapenzi shikamoo๐