The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwani wauaji wameacha kwenda huko makanisani na misikitini? Acheni uchawa na uzwazwa na kujikomba ili mtupiwe makombo yaliyojaa damu za watu wetu wasio na hatia.Duh...!. Halafu mtu kama huyu Ijumaa kama leo, anaenda masjid anapiga swala, au Jumapili anaenda kanisani!
P
Umeona sawa kutoa ushauri watu watoe takwimu feki??
Yaani wameuwawa watu 10000 wewe unashauri waseme ni 100 je hao 9900 ndugu zao waliokosa miili yao wakazika picha , nguo na viatu watakuelewa vipi??
Mimi sijatoa unabii wowote na mimi sio nabii , lazima ukubali ukweli wewe ulivyopuuza vifo vya hao watu ndio pengine wao watatamani hicho nilichokisema na nimetoa kama mfano kwa kusema mwili ushindwe kutambulika mimi sihusiki na mauaji na sishabikii mauaji na ndio maana ninakataa huu upuuzi ulioshauri wa kusema takwimu zipikwe kama mlivyopika kura feki milioni 32.
Mmeua watu sasa wapeni ndugu zao miili wakazike.
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Paskali
Duh...!. Halafu mtu kama huyu Ijumaa kama leo, anaenda masjid anapiga swala, au Jumapili anaenda kanisani kusali!Natamani afanyiwe kama Gaddafi. Avuliwe nguo, afiiiiiilwe na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli sheitwan daughter of the morning.
Wewe ni mtu wa ajabu sana kwa sababu katika hao watu waliokufa hakuna ndugu au mwanao ndio maana unaona ni kawaida.PWanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
PaskaliDuh...!. Halafu mtu kama huyu Ijumaa kama leo, anaenda masjid anapiga swala, au Jumapili anaenda kanisani kusali!Natamani afanyiwe kama Gaddafi. Avuliwe nguo, afiiiiiilwe na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli sheitwan daughter of the morning.
Kwenye bandiko hili...
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Wito huu ni kufuatia kuongezeka kwa threads ambazo haziliombei mema taifa letu na viongozi wake na nyingine kuwaombea hadi vifo wale tunaowahisi ni wabaya wetu. Kwa dini zote, amri kuu kuliko zote ni upendo, kwa jinsi ile Mungu alivyotupenda sisi hadi.... vivyo hivyo nasi tupendane, hata adui mpende, kama ni adhabu, adui yako ataadhibiwa na Mungu kupitia karma ya matendo yake!.
Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negatives kuwa positives.
Ila maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kifo kile kile alichopangiwa na Mungu ile siku anazaliwa, hivyo tusimtabirie yoyote kifo, tusimuombee yoyote kifo, uhai na kifo ni chini ya mamlaka ya Mungu pekee na sio sisi binadamu.
Paskali
Kila mtu atakufa ile siku yake ikifika na atakufa kile kifo alichoandikiwa!.Mtu kama huyu wangefumua watoto wake kadhaa
Lakini siku itafika tu watu wa hivi mbona mtalipa tu.
Hakuna cha unabii wa majanga wala nini.Siku yenu itafika tu.Huwezi kusema vifo vya wenzako ni sawa tena watu waliouliwa makusudi hakuna mpango wa Mungu wa hivyo.Kubali kataa kama na wewe ni miongoni siku yako itafika tu na sio mbali.Kila mtu atakufa ile siku yake ikifika na atakufa kile kifo alichoandikiwa!.
Tupunguze huu unabii wa majanga, what goes around, comes around!.
P
Wanabodi,
Wito huu ni kufuatia kuongezeka kwa threads ambazo haziliombei mema taifa letu na viongozi wake na nyingine kuwaombea hadi vifo
Wasalaam.
Paskali
Mkuu Tumaini, TumainiEl , vipi tena?!, haya ni maono au wale wanga wanataka kufanya tena yale mambo yao kama yale?.Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Wanabodi,
Wito huu ni kufuatia kuongezeka kwa threads ambazo haziliombei mema taifa letu na viongozi wake na nyingine kuwaombea hadi vifo
Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negatives kuwa positives.
Paskali
Huu ni unabii wa majanga!Hii code ni ngumu kidogo. Bado nakuna kichwa kuifungua hii code.
Video yenyewe ni hii hapa:
View attachment 3535798
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Wasalaam.
Paskali
Kaa mkao wa kula, anza anza kutayarisha nondo za makala yako!.Ndugu zangu niseme kweli nilitamani sanaa endapo Mwenyezi Mungu angeweza kumchukua ndugu Pascally Mayalla kwa maana baada ya KUFA.
Ingawa nilishajiapiza kuwa
angetangulia mbele za haki wakati watu wakiandika MAKALA za kumsifia yeye hakika mimi ningekuja na Makala ya kupinga sifa ambazo angepewa yeye.
Kwa kadri siku zinavyokwenda, manabii na watabiri wanazidi kuibuka, sasa kaibuka mwingine huyu, Samia punguza kiburi cha madaraka anguko lako litakua la aibu.Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Wasalaam.
Paskali
Mkuu Kozi Kodineta, Course Coordinator1 kumbe na wewe ni nabii?. Naomba utushirikishe kwenye unabii wako mwingine wowote ulio timia, hivyo tuanze kujitayarisha kwa huu unabii wako wa kabla ya 2030, usipoonyesha, then, unabii wako huu, tutauhesabu ni sehemu ya manabii hawa wa bandiko hiliAcha kiburi Samia, madaraka yasikulevye, nakiona kifo chako hapo mbele kikiwa cha aibu hata kabla ya 2030.
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Tupendane, tuombeane mema hata maadui zetu, tuwaombee mema hivyo kutengeneza positive karma effects.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Wasalaam.
Paskali
Mkuu Burita, britanicca, hili ni bandiko la unabii wa majanga!. The plane Crash that Will be Comforting the Nation in one of African Countries 2026/7The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit.
We give thanks for the life of ******
Britanicca
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Paskali
Mkuu G Sam, huu pia ni unabii wa majanga.Huyo muuaji akifika 2027 kwenye hicho cheo basi Chinja ng'ombe wote wa ukoo wenu kufanya tambiko maana utakuwa ni muujiza wa aina yake.
Wanabodi,
Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negatives kuwa positives.
Miongoni mwa kauli hizi ni pamoja na kuwatabiria vifo wenzao, wakiwemo viongozi wetu!. hawa viongozi wetu sio miungu watu hawa ni binadamu tuu kama sisi hivyo hata wakiwa ni watu wabaya kiasi gani, hata wakiwa na mioyo ya kishetani kiasi gani, hata watutendee maovu kiasi gani, sisi tuwaombee tuu mema, tuwaombee mafanikio na kuwaombea afya njema na waishi maisha marefu hapa duniani na sio kuwaombea kifo, halafu kama kuna maovu wameyatenda, sisi tusiwahukumu, tusije tukahukumiwa, kazi ya kuwahukumu kwa matendo yao, tumwachie Mungu mwenyewe ambaye ndiye Hakimu Mkuu, na hukumu yake ni kupitia kitu kinachoitwa karma, ambapo kila mmoja wetu atahukumiwa kwa matendo yake, ukitenda mema, utalipwa mema, ukitenda uovu au ubaya, utalipwa uovu au ubaya!.
Paskali
Mkuu Fabo, Fabolous , hii kauli yako ya dakika yoyote , isikuingize kwenye kundi hili la kauli umba!.Mkuu Paskali, huyo Daktari wa ukweli ni dakika yoyote tu atakua namba 1 , hakuna cha 2030.
Mkuu, Kamu, Kamundu , tupunguzeni, unabii wa majanga, Rais Samia aombe msamaha kwa Lissu kwa kosa gani?!. Sio kila maono ni maono ya Mungu, maono mengine ni maono ya shetani!.Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Tupendane, tuombeane mema hata maadui zetu, tuwaombee mema hivyo kutengeneza positive karma effects.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Wasalaam.
Paskali
Mkuu Elu, Elungata, naunga mkono hoja!.😂😂,watu wako obbssessed sana na kifo, so ni ujinga wa hali juu sana kuombea mtu afe ,ilihali hata wewe utakufa,,
Nyani ngabu mwenyewe original nasikia alishakufa na akazikwa huko kwao IGAGANULWA,huyu anaepost humu ni imposter,,huyu mayala nae ndo hivyo anazidi kusinyaa,means his shelf life iko ukingoni na anahitaji tumuombee😂🙆🏾♂️
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Miongoni mwa kauli hizi za hawa Prophets of the doom wa humu jf, ni pamoja na kuwatabiria vifo vya ajabu ajabu wenzao, wakiwemo viongozi wetu!. Tusishangilie majanga yoyote kwa binadamu wenzetu, hata hawa viongozi wetu sio miungu watu hawa ni binadamu tuu kama sisi hivyo hata wakiwa ni watu wabaya kiasi gani, hata wakiwa na mioyo ya kishetani kiasi gani, hata watutendee maovu kiasi gani, sisi tuwaombee tuu mema, tuwaombee mafanikio na kuwaombea afya njema na waishi maisha marefu hapa duniani na sio kuwaombea kifo, halafu kama kuna maovu wameyatenda, sisi tusiwahukumu, tusije tukahukumiwa, kazi ya kuwahukumu kwa matendo yao, tumwachie Mungu mwenyewe ambaye ndiye Hakimu Mkuu, na hukumu yake ni kupitia kitu kinachoitwa karma, ambapo kila mmoja wetu atahukumiwa kwa matendo yake, ukitenda mema, utalipwa mema, ukitenda uovu au ubaya, utalipwa uovu au ubaya!.
Paskali
Ni katika kukumbushana tuu!.nilishasema hapa bro kama Samia hata omba msamaha hata maliza muda wake hata mkiomba vipi. Mkifanya maombi ndiyo mtamuarakisha zaidi. Yeye ameshaambiwa kwenye ndoto na anajua cha kufanya amekuwa mbishi stroke sasa inakuja ya pili
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Ila maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kifo kile kile alichopangiwa na Mungu ile siku anazaliwa, hivyo tusimtabirie yoyote kifo, tusimuombee yoyote kifo, uhai na kifo ni chini ya mamlaka ya Mungu pekee na sio sisi binadamu.
Paskali
P.Mimi namuombea kifo, Samia kufa itakuwa ni nafuu Kwa watanganyika kuliko akiwa hai.
May God do the needful action.