Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

Pole sana mkuu, ila hukupaswa kukaa kimya...
Hizo tabia za kinyani lazima tushirikiane kuitokomeza...

Ubaguzi wa kidini, ukabila ni unyani na ukifanyiwa na mtu usiwe mnyonge hata kama anafikiri yuko kwao...
Haya ni mambo ya kawaida , tunaishi nao fresh ...Ila mimi siwezi kabisa kila mtu na roho yake.
 
Waanze kwanza kufuta ujinga kichwani mwako.
 
Walioingia chumbani kwa P Diddy wapigwe vita ili kuonyesha jamii haisuport ushoga,wamenifurahisha sana wana mbeya,
U P Diddy wenu huko huko msiulete huku
Kaka mkubwa unafikiri kwanini niliamua kukimbia mjini na kuja kijijini Mbeya ni vile nilijiona Nina misimamo Kama akina Mwaisa ambayo siwezi kuzionesha hapo mjini.
Itoshe kusema upididy hauruhusiwi mbeya
 
Hizo sababu haziwezi kutumika kufuta hadhi ya eneo lolote kuitwa jiji au mji au manispaa, iwe Mbeya, Mtwara au mji wowote nchini.
 
Kwani likifutwa watapata hasara gani?
Oxygen itaondolewa?
 
Usiandike post kwa hasira,hapo watu wanaona hasira yako badala ya kuona unachotaka kuwafundisha. Hiyo mbeya iwe halmashauri ya mji mdogo kwa kipi? We unawajua watu wa mbeya kwa kiasi gani? Idadi ya watu waliofika kwenye tamasha haifikii hata idadi ya watu wanaokaa mbalizi,mbeya ina wilaya ngapi? Una generalize kwakuwa unaandika kwa kupanic.elimisha watu waliokosea usitoe povu.
 
Na wewe Vishu Mtata ni kabila gani? Hebu tuweke makabila yetu wote kwa pamoja ndipo tuyajadili
 
Machawa na mashoga hatuwataki huku Mbeya... Useng£ wenu uishie huko huko!
 
Takataka kabisa wewe ,kwahiyo ilifutwa kuwa jiji ndio nani anakuwa kakomolewa ?
 
Takataka kabisa wewe ,kwahiyo ilifutwa kuwa jiji ndio nani anakuwa kakomolewa
Hakuna sifa za kuitwa jiji la Mbeya huku wenye mji wanaishi Kama wapo kijj, imagine wanaiba solar za taa za barabarani hii hawa watu wanaakili kweli
 
Inakuwaje watu wapo jj lakin bado wanaiba betri za solar za barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…