Alitumia nguvu kidogo kunyooosha mambo , mahakama ilikuwa kichaka cha wezi kuchelewesha hukumu, wasiojulikana wapo nchi zote zenye akili kama china , israel Russia nk,Ondoa UPUMBAVU hapa.
Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.
Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora.
Let him continue to burn in hell