Paskal mayala anajipendekeza kwa Maliyamungu idd Amin Bashite si unajua anaogopa lile Nissan nyeupe la Heri Kisanduku makapero na akina Jerry muro.With all due respect kaka Pascal, nadhani sote mimi na wewe hatujui chanzo cha taarifa cha ndg. Ngurumo,kwahiyo sidhani kama no busara Ku "rubbish" andiko lake.Busara ilikuwa in kwa wewe kujenga hoja fikirishi zitazoweza kuleta ushawishi kwamba hili andiko la ndg. Ngurumo halina any substance ya truth ndani take Bali ni ukurupukaji na upuuzi.Kwa taaluma yako na heshima uliyonayo katika jamii,sidhani kama umejitendea haki kwa kutoa majibu kwa tuhuma nzito namna hii,pasipo kuweka hoja pingamizi.
Japo kuna wakati anatumia lugha isiyo ya staha, baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, taarifa ambazo Mange Kimangi huzitoa kwenye page yake, kwa kiwango kukubwa, huwa ni ukweli mtupu.Inavyoelekea lengo la kwenda nje ni kutafuta uhuru wa kuwatumikia mabepari bila kufikiwa na mkono wa sheria za Tanzania. Anafanya mambo kama yale ya Mange Kimambi nimenza kufikiri hakuwa anafanyiwa vitisho kama alivyasema bali, alitafuta njia ya kwenda kuishi nje ili akafanye anayoyakusudia.
Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
GENTAMYCINE ndugu yangu, kwa nini leo tusimwamini Ngurumo kwa haya aliyosema? Ndiyo yaweza kuwa kaongeza na chumvi kunogesha habari hiyo mpaka ameharibu mchuzi lakini mchuzi huo kama ni wa pweza bado utabaki wa pweza tuu kasoro ni chumvi imekolea sana.' Logically ' tu Mkuu kwa yule aliyebobea hasa katika masuala ya ' Ujasusi / Unjagu ' hawezi kukubaliana hata mara moja na maelezo ya Ansbert Ngurumo hasa haya aliyoyatoa kwani yana ' weak arguments ' mbele ya IQ za Great Thinkers. Kuna sababu kadhaa ila itoshe tu kusema kwamba yapo mengine ambayo ' Kimantiki ' tu alikuwa ana ' Hoja ' nayo na hata Sisi Wadau tulikuwa tumeyaona ila kwa hili la sasa linalomuhusisha moja kwa moja RC Makonda sijui na Watendaji wengi nitakuwa wa mwisho kabisa katika kuliamini. Kikubwa tu atusaidie katika kutatua ' changamoto ' hasa za mambo ya msingi na kamwe asitake sasa kutaka kutumia mwanya wa Yeye kukimbia Tanzania na kuwa huko aliko sasa ili tu ajitengenezee jina, akubalike upesi, aaminike na kisha aanze kutumika na ' Maadui ' wa Tanzania katika ' kuichafua ' nchi. Bado nina imani nae ila ajitahidi sana aachane na kutunga mambo huku akitafuta ' public sympathy ' kwani haitomsaidia kivile na sana sana inaweza kumhatarishia zaidi ' ustawi ' wake hata huko huko aliko sasa. Awe makini!
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Anapaswa kuapishwa siku ya kwanza bunge likifunguliwa, jee atakuwepo?Vipi hali ya m'bunge wetu inarndeleaje..
Ataapishwa mjengoni kwelii[emoji844] [emoji196] [emoji37] [emoji13] [emoji200]
Musiba amejibu maneno makali ya uchochezi na uasi ya viongozi wa CHADEMA. Kwa kuwa baadhi yao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, tuache haki itendeke.Msiba yafaa atandikwe makofi na mitaani live maana kawa punguani kiasi cha kutisha, adhabu yake ni kuchezea kichapo live maana mahakamaccm ni vigumu chadema kupata haki hata wakimfungulia kesi.
Binafsi sishagazwi na comment yako hii, wewe unaongozwa na mapenzi yako kwa watawala na sio mapenzi yako kwa nchi. Jaribu kuwa objective na kuweka maslahi binafsi, maana hata kwenye upumbavu mwenye hekima huweza hupata hekima hata kidogo.Aaah wapi......this is just a guessing
Kuna baadhi ya mambo ni ya kufikirika unaweza kuyaweka kwenye maandishi yakaonekana ni ukweli kutokana na wakati tuliopo
Mfano
kama ambavyo wengi wetu tunajaribu kumhusisha MBOWE na UPOTEVU wa SAANANE...
Au kuwahusisha CHADEMA NA BAADHI YA MAUAJI
Wakati uovu huu unapangwa rasmi, Rais Magufuli alikuwa kanisani kwenye ibada ya Ijumaa Kuu, “anasali.” Je, naye alibusu msalaba? Kama ndiyo, busu lake lina tofauti gani na busu la Yuda kwa Bwana Yesu – busu la usaliti kwa Watanzania alioapa kuwalinda?
WHAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki
Uko sahihi Bro,Mange ndio media kuu kwa sasa wengine ni wapiga makofi kwa wakuuJapo kuna wakati anatumia lugha isiyo ya staha, baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, taarifa ambazo Mange Kimangi huzitoa kwenye page yake, kwa kiwango kukubwa, huwa ni ukweli mtupu.
Nadhani sababu ya watu wengi kumfuatilia Mange kwenye Instagram page yake ni kutokana na usahihi wa kile anachopost. Leo hii Mange Kimambi amekuwa ndiyo chanzo cha uhakika cha habari kuliko TBC au chombo kingine chochote cha habari nchini. Na kwa hakika atazidi kupata followers wengi zaidi kila siku ipitayo. Kumsema vibaya Mange wala hakuwezi kumpunguzia followers. Products (habari) anazozitoa ndiyo zinaweza kumoandisha au kumshusha.
Na jinsi serikali inavyozidi kugandamiza uhuru wa vyombo vya habari, ndivyo watu kama Kimange au hata JF itakavyozidi kuwapata members wengi zaidi.
Binadamu hupenda kuwa huru na hupenda kupata taarifa sahihi. Kama taarifa sahihi hazitaweza kupatikana kwenye vyombo rasmi kama TBC, ITV, Clouds, Channel Ten, Mwananchi, Nipashe, Uhuru, Habari Leo, Tanzania Daima, etc. kwa sababu wakitangaza wanafungiwa, watu watatafuta habari kutoka vyanzo vingine visivyo rasmi. Na bahati mbaya huko serikali haina hata nafasi ya kujitetea au kutoa ufafanuzi.
Siyo sahihi kabisa kumdharau Mange Kimambi. Mimi si shabiki wake wala siyo follower wake lakini siwezi kuukwepa ukweli.
Nani kakwambia haiwezekani??Sijawai kusikia Raia kuingia Kamati ya ulinzi na Usalama wa ngazi yoyote Kama siyo Mjumbe hii ya Leo kusikia Syprian Musiba kuingia huko duh hii Kali uongo mwingine wadanganyeni Majinga Wenzenu
watu wakikalia vitisho na Udikteta wenu ni ngumu kupata Uhuru walikuwepo makaburu wa Afrika kusini leo wapo wapi? Lazima Wapinzani wadai Uhuru toka kwa wakoloni wasukuma wawili washamba toka kolomije na chato, kwenye kudai Uhuru wapo wataokufa, kufungwa, kujeruhiwa, kupotea na kila unyama lakini mwisho wa siku Uhuru utapatikana, wapo wapi Akina idd Amin dada, Chiluba, Abacha, Bokasa, Gadafi, Sadam Husein, Mabutu na wenzao ambao walikuwa wanyama kuliko Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite.Ninachowasifia wapenzi, wanazi na wafuasi wa Mh Mbowe, humu jamvini, ni mawazo yao ya ndani ya kisanduku.
Mnastahili hongera kwa kuwa nyuma ya kiongozi wenu iwe mvua au jua kali. Lakini, sijui kama mnajua maneno yenu ni kama kutwanga maji kwenye kinu!
Kama mlivyo ninyi kwenye mitandao ya kijamii na uzushi na vimaneno ambavyo, bila kujijua, yamewapa kiburi viongozi wenu, zamu yai sasa wako rumande. Na kama watahamasisha maandamano, itakuwa zamu yenu kuwa huko.
BINADAMU NI:
KUHESHIMIANA;
KUKUBALI KUTOFAUTIANA KISTAARABU;
KUTUMIA NJIA ZILIZO HALALI KUBADILISHA UONGOZI; NA
KUSAMEHEANA.
Mbona kwenye hili mnakuja na vitisho lakini mada za watu kuitwa tishio LA usalama wa taifa hamdai udhibitisho?Ni kweli, hivi moderstors wakiombwa kuthibitidha habari hiyo nao watadai uhuru wao wa kutoa taarifa umeingiliwa?
Kujadili kuua wakosoaji wa serikali ndiyo ugeni wenyewe hasa.Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
[emoji24]Anavuja
Reaction aliyotoa na kuiweka hapa utagundua tu Ngurumo amegusa na kutonesha mahala fulani na ndio maana nikamwambia wenye hekima tunachota hekima hata ndani ya upumbavu.Unaonaje kabisa kwamba "huu ni Uzushi"?
Unapouita Uzushi ni Vyema wewe ukaweka ukweli wenye kuthibitisha kuwa huo ni Uzushi otherwise huo wako nao unakuwa ni uzushi wenye lengo la kujitetea tu.
na hukiona habari zinavuja basi ujue kuwa waliomo ndani ya kikao hawaridhishwi na uovu huo ila wana.kokotwa tu,Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu