Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Ila jamani hizi nyuzi za kusifia member flani kuna watu wata- commit suicide

Heri msifiane huko PM kwa manufaa ya wengi

Btn thank you for the compliment ,I appreciate you too
Dah we lofa umenifanya nicheke, kisha nishindwe kuchagua Kati ya emoji ya 😍au πŸ€£πŸ˜‚ stay blessed Palina
 
Dogo chama Cha wezi wa kimataifa kitadumu milele na milele kikiongozwa na Mimi intelli, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na mwizi anaye chipukia National Anthem.
πŸ‘‰ Sera zetuπŸ‘‰ Panga mkononi
πŸ‘‰ Roho begani
 
Naanza jifunza na uchawi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hiyo combination ya uchawi na wizi nitatishaaa. Nakuibia huku unioni
 
Evelyn Salt pacha wangu unajua vile nakupenda.

Nobunaga unajua vile nakukubali, you are special.

To yeye
Mshana Jr
makaveli10

mzabzab unanipaga raha na uchizi wako

Mzee wa kupambania Mzee wa mizagamuano, noma sana.

The Monk Rafiki wa ulweli.

Asprin Babu darling.

mbalizi1 Fundi wangu mkuu kabisa.

Msanii
Extrovert
The Icebreaker
Kiranga
ETUGRUL BEY
Kapeace

Lee

Shunie Mke mwenza nakupenda..

GENTAMYCIME

Heaven Sent una busara sana mdogo wangu.

xtaper


Glenn ulinikataa mchana kweupeeee, salute kwako mtumishi wa Mungu.

Amani iwe kwenu ndugu zangu.
 

santo sana mamy nawe pia u miongoni mwa wachangamsha nyuzi nyingi sana humuuu ukiwepo huo uzi lazima utembee speed yani kwa uzi mambo yanakua ni bulbul!!!!
Una madini ameiizzinngggg sana dear Ubarikiwe sanaa!!😘!!
 
santo sana mamy nawe pia u miongoni mwa wachangamsha nyuzi nyingi sana humuuu ukiwepo huo uzi lazima utembee speed yani kwa uzi mambo yanakua ni bulbul!!!!
Una madini ameiizzinngggg sana dear Ubarikiwe sanaa!!😘!!
Kuna pipo zikikaa kwenye uzi utaenda tu hata km uzi hauna madini, wengine wanatuchukulia poa lakini nakuhakikishia bila wachangamshaji huu mtandao ungekuwa umepwaya
 

Wabheja mr ban ubarikiwe sanaaa!! Una vitu vyako vyaukwee sana humu hadi wanataka kukutoa roho na bann zaoo!!
Nawe huna baya namtu kabesaa humuu uko peace nakila mtu be blessed alot mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…