Niliwahi kuandika, Tanzania hata mitambo yote ifanye kazi na tuwe na umeme wa ziyada tatizo la umeme tutakuwa nalo tu.
Ni kweli kabisa, tatizo lililopo katika nchi hii sio vitu bali ni watu,wajinga ni wengi sana,mbaya zaidi hao wajinga wanatuongoza.

Nilisau kumshukuru mama kwa kuniwezesha kukomenti hapa, nichukue nafasi hii kumshukuru raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuniwezesha kukomenti hapa siku hii ya leo.
 
Hii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Huu ni ujinga .
Karne hii mji wa uzalishaji kama dsm unakata umeme kisa GRIDI umeleta hitilafu .

Kwa akili za kawaida tu tungetakiwa kuwa na independent back up yetu kulingana na mahitaji ya mji
 
wewe ukoje,imetokea hitilafu nchi nzima hakuna umeme,hebu utulize akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…