Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi
Niliwahi kuandika, Tanzania hata mitambo yote ifanye kazi na tuwe na umeme wa ziyada tatizo la umeme tutakuwa nalo tu.
Ni kweli kabisa, tatizo lililopo katika nchi hii sio vitu bali ni watu,wajinga ni wengi sana,mbaya zaidi hao wajinga wanatuongoza.

Nilisau kumshukuru mama kwa kuniwezesha kukomenti hapa, nichukue nafasi hii kumshukuru raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuniwezesha kukomenti hapa siku hii ya leo.
 
Hii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Huu ni ujinga .
Karne hii mji wa uzalishaji kama dsm unakata umeme kisa GRIDI umeleta hitilafu .

Kwa akili za kawaida tu tungetakiwa kuwa na independent back up yetu kulingana na mahitaji ya mji
 
Eneo nililopo Mbagala umeme ulikatika usiku wa manane kabla ya saa nane usiku mpaka hivi sasa saa mbili naa asubuhi umeme haujarudi. Ni hivi karibuni mheshimiwa alisema mtambo mmoja mpya umewashwa huo ndio mwisho wa kukatika kwa umeme, umeme ndio huo umekatika.
Hivi hawa viongozi wa CCM kwanini wanakuwa na haraka ya kutatua matatizo kwa mdomo!
wewe ukoje,imetokea hitilafu nchi nzima hakuna umeme,hebu utulize akili yako
 
Mimi ninawaamini kwenye uongo wao, wewe ukinidanganya sitauamini uongo wako.
20240322_124413.jpg
 
Back
Top Bottom