πŸ˜‚ huku tangu jana mchana

Huku Kilingeni tangu jana mchana
Sasa mkuu kilingeni umeme wa nini?! Si uwashe mishumaa tu! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Hii location nilipo mimi, umeme kukata ni nadra sana. Kwa mwenzi unaweza kata Mara mbili tu tena kwa masaa machache sana,
 
Watanzania washakuwa wasomi wajanja, taja hiyo hitilafu ili tuone kweli mko serious na mna nia ya kutatua tatizo!

Tangu mmeanza matengenezo ya mitambo na mifumo miaka mitatu iliyopita, bado tu mnapata hitilafu?

Nataka kujua, line ya kwenda Magogoni na line inayoenda Kizimkazi, na zenyewe zimezimwa kwaajili ya hitilafu?
 
Tangu saa moja jana usiku hamna umeme
 
Yaani hii nchi tunaishi basi tu yaniπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…