Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumekuja mkuu🤣🤣🤣....Arteta aandikiwe barua rasmi ailazimishe bodi imuongezee Partey mikazo mkataba wa miaka 2 na option ya mwaka mmoja....yule jamaa akiondoka tutamkumbuka sana
Hata 3 sawa, ila wasifanye ujinga kumuacha. Unaonekana msimu huu ule mzimu wake wa majeraha unampitia mbali kidogo. God forbid.
 
Arsenoooooo, we are the gunnerssss.
Sasa mtoe kipo do hicho hicho kwa hawa man utd, tena hao piga ata 7
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzabzab mzee wa mbususu mambo yangekua ni rahisi kihivyo Man Utd mngempiga hizo 7 kwenye FA walivyocheza pungufu kwa zaidi ya dakika 60 baada ya Dolot kulimwa kadi nyekundu.
Matokeo yake Man Utd wakiwa pungufu waliwafurusha kwenye michuano kwa Aggregate ya goli 6-4 hapohapo kwenye dimba lenu la Emirates.
 
Arsenooooo bwana. Ila man utd mie nashindwa elewa mbona siku ile mechi ya liverpool na hii ya arseno walipbana kweli kweli.
Mweee jana sasa, 🤣🤣🤣🤣 unatamani hadi kulia japo litimu nalichukia but dah...maguire kweli ndio anaonekana mchezaji kweli kweli🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…