Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😹😹 Tatizo watu wa group O waongo waongo sana, Maka hii ntakudai nakwambia mpk utatoa hiyo jersey.!!
Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. πŸ˜‚

jezi utapata hili lishapitishwa. Subiri jezi za msimu mpya zitangazwe upate uzi wako.
 
😹😹😹
Si kautaka mwenyewe, huyo
Kawaletea wahuni shobo, huyo
Si' kwetu hatumli kwa macho, huyo
Si kautaka umaarufu, huyo
Oya, mwanangu Kai peleka moto! 🀣
Hizo ndio ngoma zenuπŸ˜‚, mie nasikiliza MSONDO NGOMA saa hizi.
 
Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. πŸ˜‚

jezi utapata hili lishapitishwa. Subiri jezi za msimu mpya zitangazwe upate uzi wako.
Oyoooooo 😻
Maka ake huyo..!!
Jersey nnayo na natamba nayo..!! πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Oyoooooo 😻
Maka ake huyo..!!
Jersey nnayo na natamba nayo..!! πŸ€Έβ€β™€οΈ

ile ujue group O wanatuhitaji, inabidi tupambanie ukoo wetu, inabidi tuongeze familia ya group O, lifikiri kwa kina Lamomy
 
πŸ˜‚πŸ€£
Hapana, napambania ukoo wetu wa group O, ukoo unateketea, watu wanaadimika, lazima sisi tusimame kidete ukoo uishi milele na milele.
Au sio 😹
Maka muhuni muhuni sana wewe..!!
Yani wewe umefoward unataka mpk mtoto moja kwa moja 🀣
 
Au sio 😹
Maka muhuni muhuni sana wewe..!!
Yani wewe umefoward unataka mpk mtoto moja kwa moja 🀣
Sasa kwani we unataka utamu tu, mie naangalia zaidi ustawi wa group O πŸ€£πŸ˜‚
 
No ST signed.

Hesabu ni zile zile za kusubiri majeruhi warudi.
 
Celebration police roho zinawauma.

Punda kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…