verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Carra akiwa na Titi vs akiwa na Neville ni watu wawili tofautiNeville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.
Kabisa yaaniCarra akiwa na Titi vs akiwa na Neville ni watu wawili tofauti
Mamaee 🤣🤣🤣Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.
We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama
View attachment 3226374
Sawa wamekuja kupaki basi KENGE nyie...Murphhhhhhhh. AGGREGATE 3-0Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.
We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama
View attachment 3226374
Kama mmeshaanza kulaumiana mtuambie.We are poor defensively
Njia pekee kwa arteta kupata kombe lolote ni kuliiba.Au COVID irudi tena mpate kombe la papatu papatu. Maana haya ya kiume kweli kweli hamuyawezi
Nimehuzunika sana leo JOELINTON hayupo hata benchi.kombe pekee mtakalobeba arsenyeto Msimu huu ni la kumfunga city 5-1 😂...sahv hapa msomali anawashenyenta hamna Uwezo wowote wakupindua wazee wa netflix