[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Man City kwa Man Utd tunamchukulia kama under dog tu, ni kama hapa bongo Simba na Yanga wanavyoichukulia KMC au Azam.
Man Utd mtani wake wa jadi miaka yote ni Liverpool tu.
Hata nyie Arsenyau mashabiki wa Utd huko Uingereza wanawachukulia kama Mtibwa sugar, mtushukuru tu sisi Mashabiki wa United huku Afrika walau tunawapa ka airtime flani hivi na kuwachukulia kama ndio watani wetu wa jadi, ila kiuhalisia hako katimu kenu wazungu wanakaona ni ka mid table team fulani hivi kanako jitahidi kupigapiga pasi.