kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Tomiyasu na phil Jones kama ndugu vile ,,,, !! May be the start of the next season ndo ataonekana on the pitch 🏟
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uefa walivyo na nongwa draw inayofata wanawapangia na Bayern makusudi kabisa ili juhudi zenu zote mkazielekeze huko kwenye Epl.Bayern amepenya aisee. Huyu mhuni huwa hatumtaki kabisa. Ila Atalanta na Milan naona wametolewa. Huu mfumo mpya kweli hauna huruma. Ukiteleza kidogo unaweza kujikuta umeanguka kabisa.
Tuone kama ManC115y atapindua meza leo.
Kama kawaida. Timu zetu bishi ni Bayern na Barcelona. Tunaweza kuzikuta kwenye form mbaya ila tunajikuta tunatolewa nazo tu. Msimu jana Arteta alijikoroga kumuweka Kiwior namba 3 badala ya Tomiyasu na ikala kwetu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uefa walivyo na nongwa draw inayofata wanawapangia na Bayern makusudi kabisa ili juhudi zenu zote mkazielekeze kwenye Epl. View attachment 3241805
Kitu ambacho hamuwezi kuwa nachoLiverkuku kashakata moto ni sisi tu kuwa na mentality ya ubingwa.
Morali itakuja msimu huu kwa maana tumetokea nyuma kwa points,misimu mingine mda huu tupo kileleni tunaenda poteana mwishoniKitu ambacho hamuwezi kuwa nacho
Nakuhakikishia Man City anamaliza juu Arsenal.Liverkuku kashakata moto ni sisi tu kuwa na mentality ya ubingwa.
Hehehe huko CL tu kashindwa kumaliza juu ya ArsenalNakuhakikishia Man City anamaliza juu Arsenal.
Achana na mambo ya nguvu za gizaHehehe huko CL tu kashindwa kumaliza juu ya Arsenal
Kombe linatutafuta misimu hii mi 3 mfululizo ila tunayatimba wenyewe.Liverkuku kashakata moto ni sisi tu kuwa na mentality ya ubingwa.
Kwenye Mei hivi mkuu, sauti ya jumbe hii itakua inatosha kusikika.Hehehe huko CL tu kashindwa kumaliza juu ya Arsenal
SawaKwenye Mei hivi mkuu, sauti ya jumbe hii itakua inatosha kusikika.
Ni kama mtabahatika kuipata hiyo mentality.Liverkuku kashakata moto ni sisi tu kuwa na mentality ya ubingwa.
Liver wana game changer in the name of Salah.Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid
Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle
Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal
UEFA or EPL moja letu