Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bayern amepenya aisee. Huyu mhuni huwa hatumtaki kabisa. Ila Atalanta na Milan naona wametolewa. Huu mfumo mpya kweli hauna huruma. Ukiteleza kidogo unaweza kujikuta umeanguka kabisa.
Tuone kama ManC115y atapindua meza leo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uefa walivyo na nongwa draw inayofata wanawapangia na Bayern makusudi kabisa ili juhudi zenu zote mkazielekeze huko kwenye Epl.
1713782188650.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uefa walivyo na nongwa draw inayofata wanawapangia na Bayern makusudi kabisa ili juhudi zenu zote mkazielekeze kwenye Epl. View attachment 3241805
Kama kawaida. Timu zetu bishi ni Bayern na Barcelona. Tunaweza kuzikuta kwenye form mbaya ila tunajikuta tunatolewa nazo tu. Msimu jana Arteta alijikoroga kumuweka Kiwior namba 3 badala ya Tomiyasu na ikala kwetu.

Uzuri ni kwamba Arteta ni mwepesi wa kujifunza kuliko watu wanavyofikiri. Ndiyo maana msimu kwa msimu wale wabaya wetu haswa wanazidi kuteseka kwa kutokutufunga. Itafika wakati tukikutana na Bayern tutaona ni sawa na kukutana na West Ham tu kama ilivyo tukikutana na Manchester United.
 
Kuanzia jana kuna mashabiki wameitukana Villa.

But, swali langu ni kwanini hatushindi mechi zetu? Msimu wa nne mfululizo unatarajia miujiza ya timu zingine si uongo huu
 
Unajua kwamba Arsenal tunastruggle hivi kwakua wameumia wachezaji wangapi? 5.

Katika hao 5 regular starters ni 3. Saka, Martinelli na Kai. Wawili waliobaki inategemea kocha kaamkaje, Jesus na Takehiro.

Kimahesabu unahitaji wachezaji 7 tu wa ndani ya uwanja wanaojua wanataka nini ili kushinda mechi.

This means either we are too dependent on pattern or we have to add 3 world class players
 
Kwenye game ya Liver na Wolves, jinsi Liver wanavyocheza hata kama wameshinda, utagundua Liver upepo umeanza kukata.

Game yao na Aston villa nikajua hawa wakijitahidi sana sare. Na kwa jinsi Man city anavyocheza sasa hivi hasa nilivyoona ile game yao na Newcastle, hapa Liver lazima afe.

Nilikuwa nimekata tamaa ya ubingwa, kumbe mbio bado kabisa, kimasihara masihara Arsenal anachukua kombe.
 
Back
Top Bottom