Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.