Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Atakayesema Raya sio Man Of The Match mchawi, mchezo kauamua yeye.
Afadhali wewe umeona. Ukiona kipa au beki wako (na sio forward au kiungo) amekuwa Man of the Match kitu gani kinapita kwenye akili yako.
 
This time next week Arsenal itakua imepata Director in the name of Berta.

Nafikiri hii inamaanisha bado Arsenal na Arteta tuna safari ndefu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuteni kocha wa kueleweka,
Tetea sio kocha, yule ni mwalimu wa mazoezi ya viungo.
1715834875920.jpg
 
🗣️ Declan Rice on if the title race is over: “It’s not over yet, we need to keep pushing… we are Arsenal!” 😤

Declan Rice: “2nd half we did things we haven’t done all season. It was very naive in the last 10 minutes and we could have easily handed the game to Man United. A bit of stupidity from us.”
Kupata vichekesho hivi na vingine piga *148# kisha chagua Arsenyo. 🤣🤣🤣
 
Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.
Watakuja kukupinga,,,,!
 
Kila siku nasema humu ili arsenal muanze kupata vikombe kuna takataka nyingi hapo
: Odegaard, partey, Rice(hana consistent), trossard, sterling (huyu afungwe jela kabisa anakula mshahara hewa), Skely, Calafiori., Martineli, havertz, na kenge zote zilizopo on loan zikiongozwa na Fabio,,, !

Wa kubaki Arsenal ni Gabriel M, Saka, Saliba, Raya , Timber ,
 
Mikel Arteta on what phase Arsenal are in from his planned 5 phase plan: “Phase 4 to 5”.

“Establishing yourself at the highest level in the Champions League. Consistently perform with a lot of unity and being very close to touching big trophies”.
 
Leo iyo
 

Attachments

  • Screenshot_20250310-170601.jpg
    Screenshot_20250310-170601.jpg
    281.7 KB · Views: 1
Kwahiyo ndugu zetu arsenane
Mmefocus kwenye kikombe kipi?
Kama kawaida yenu tutasikia mmefocus kwenye UCL,
Wahalifu nyie, EPL iwashinde, UEFA mmbebee wapi?
 
Back
Top Bottom