Du! Kwanini wasingempigia kwanza Huyo mjomba aliyekuwa nae mchana?
Je mume alikurupuka au kuna ukweli? maana mtu anang'olewa jino kwa pliers,kutobolewa jicho ni hatari aisee
hata kama kuna ukweli mamlka ya kufanya aliyoyafanya ameyapata wapi? hii nchi watu wamkuwa kama wanyama pori