Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Watoto wa chuo ukiwazoea ni hatari... wanachuna kama vile hawana akili timamu. Mbaya zaidi huko chuo kuna kijana mwenzie anajipigia muda wowote akitaka bila kutoa chochote. Itakuwa marehemu aligharamia sana huyo kahaba. Vijana msiwekeze kwa wanawake.
 
download (21)~2.jpeg
 
Mkuu hawa vijana wa sasa walivyo hopeless watakuelewa sasa?
 
Hayo ni maneno ya kiimani tu nina zaidi ya miaka 40 sasa wakata tamaa kama wewe wananiambia mwisho wa siku wao ndio wanaomba misaada kwangu.
Hiyo mamlaka ipo!SEMA wanaoizungumzia ndio wenye changamoto ya usahihi was taarifa!

Kuwa kwako na kikombe kilichofurika na kumwagikia wengine haimaanishi kutokuwepo kwake!

Yeye ana maksudi na hivyo ulivyo sasa Hadi wakati ulioamriwa hasta kama ni miaka Yako ya 80 au 90 utapata hitimisho TU!
 
Back
Top Bottom