Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Yaani sijui inakuwaje mpaka mtu anajiua.Kuna jirani yetu alitaka kujiua akajitumbukiza kwa karo la mavi.Kumchomoa karibu siku nzima nanuka mimavi tu mpaka nikajipaka mafuta ya taa,ndio kidogoo shombo likakata.
Kwa hiyo jamaa alinyonya mavi
 
Wengine sijui wanatoaga nini hadi kufikiwa watu kujiua. Alale mahali alipojichagulia.
 
Issue sio sex mkuu maana ingekuwa hivyo watu wangegandana na watu waliowapa sex experience kubwa. Issue hapo ni upendo uliokomaa kiasi unampa mtu mwingine nusu ya maisha yako kiasi huwezi kujitegemea kiakili na kihisia bila uwepo wao.

Na mbaya zaidi uachwe ghafla halafu aliyekuacha ka move on kirahisi 😁.. Waswahili wanasema "maji utayaita mma"
Kuna K special ambazo zinafanya mtu uzuzuke 🤣. Picha cha huyo demu ni weusi fulani hivi halafu ana nyama za kutosha zilisambaa kwenye mshepu. Lazima alikuwa kitu cha moto.



View: https://youtu.be/0eukAHZ1ALk?si=tdA-W0Bhu0x31KiR
 
Na kujenga alishajenga...
What a waste of sperm
 
Back
Top Bottom