Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Mimavi tu mkuu ilibidi tumchomoe ,uchumi uliyumba na vijana wakawa wanamkaza mke wake.
Dah MUNGU MWENYEZI amsaidie sana

Wanawake hawa ukiwa na pesa unaweza zani ni watu wa maana sana, kumbe mashetan kabisa

Kwahiyo saiz anaendeleaje
 
Dah MUNGU MWENYEZI amsaidie sana

Wanawake hawa ukiwa na pesa unaweza zani ni watu wa maana sana, kumbe mashetan kabisa

Kwahiyo saiz anaendeleaje
Nyumba kauza ,case ya ndoa walimsuluhisha na mke wake baadae akamfumania tena kwa mara ya pili( kapiga chini mazima).Mwamba karudi zero alikuwa mtu na roho safi sana.Kwa kifupi sasa hivi kawa kama hamnazo hivi.
 
Dah MUNGU MWENYEZI amtie nguvu

Lakin sifa ya mwanamume ni kujikaza, asikate tamaa
 
Ukikutana na kitu kinaitwa K ikiwa tamu halafu iwe ya moto, ukiila unamwaga ubongo, akili yote inaondoka na bao. Ukiachwa lazima ubongo uchanganyikiwe hata kujiua
Issue sio sex mkuu maana ingekuwa hivyo watu wangegandana na watu waliowapa sex experience kubwa. Issue hapo ni upendo uliokomaa kiasi unampa mtu mwingine nusu ya maisha yako kiasi huwezi kujitegemea kiakili na kihisia bila uwepo wao.

Na mbaya zaidi uachwe ghafla halafu aliyekuacha ka move on kirahisi 😁.. Waswahili wanasema "maji utayaita mma"
 
Amani kwenu watumishi wa MUNGU

One Man down again

Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga

He rest down because of love

MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia

LONDON

Bora hata angejitoa uhai wake kwa ajili ya katiba mpya tungemkumbuka kama shuja

Tatizo kubwa la Arusha ni bangi ambayo imesababisha karibu watu wote wa Arusha kuharibiwa Kwa ubongo na kupungua uwezo wa kufikiri kwao kunakopelekea mambo ya hovyo kama haya ya kujinyonga Kwa sababu za kipuuzi.
Marehemu atakuwa arijibikiri kwa huyu femu
 
Back
Top Bottom