Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

Tatizo kubwa la Arusha ni bangi ambayo imesababisha karibu watu wote wa Arusha kuharibiwa Kwa ubongo na kupungua uwezo wa kufikiri kwao kunakopelekea mambo ya hovyo kama haya ya kujinyonga Kwa sababu za kipuuzi.
 
imuhukumu mtu kwa maamuzi aliyochukua hata kama kwangu nayaona hayana mantiki.

By the way 30+ brother kajimaliza kwa mtoto wa 2000.. Evelyn Salt mkuu wa mashangazi jf, una lolote la kusema?
 
imuhukumu mtu kwa maamuzi aliyochukua hata kama kwangu nayaona hayana mantiki.

By the way 30+ brother kajimaliza kwa mtoto wa 2000.. Evelyn Salt mkuu wa mashangazi jf, una lolote la kusema?
Ukikutana na kitu kinaitwa K ikiwa tamu halafu iwe ya moto, ukiila unamwaga ubongo, akili yote inaondoka na bao. Ukiachwa lazima ubongo uchanganyikiwe hata kujiua
 
Yaani sijui inakuwaje mpaka mtu anajiua.Kuna jirani yetu alitaka kujiua akajitumbukiza kwa karo la mavi.Kumchomoa karibu siku nzima nanuka mimavi tu mpaka nikajipaka mafuta ya taa,ndio kidogoo shombo likakata.
Hahahaa

Duh kwahiyo ukalowa mimavii mkuu?

Pole sana

Naye kisa ilikuwa mapenzi?
 
Kafa kipumbafu sana , unajiua kisa hawa hawa mabinti au kuna wengine , kuna vijana wapumbavu sana ,soma la kujipenda sijui kwanini hawalijui.
Comrade, haya maneno umeandika kwa sababu hayajakukuta. Siku yakikukuta, nakuambia utakitafuta kitanzi kokote kule kilipo, ili tu ujitundike baada ya kuachwa, au kupigwa tukio.
 
Comrade, haya maneno umeandika kwa sababu hayajakukuta. Siku yakikukuta, nakuambia utakitafuta kitanzi kokote kule kilipo, ili tu ujitundike baada ya kuachwa, au kupigwa tukio.
Kaka ngoja kwanza niweke wazi tu kwa huu umri wangu wa miaka 40 hakuna mwanamke wakunisumbua kabisa , nikiwa na umri wa kijana mpumbavu kana huyo na hata sasa sitafuti natafutwa, ni vile tu nime make standard zangu mkuu🤔
 
Back
Top Bottom