Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gambo kidedea!Arusha Mjini ....KAZI TUMEMALIZA
Tulia dawa ikuingie wewe bavicha.una kazi ya ziada ya kupitaa kilaa uzi wa chadema kutoaa takwimu hivi hata mkeo umemgusa kweli au ni kazi ya kuandika ujinga tu
Arusha mjiniNadhani majimbo yako Kama 9 au 10 sijaona Arusha mjin Wala vijijin
karatuArusha mjini
Arumeru magharibi
Arumeru mashariki
Monduli
Longido
Ngorongoro
Ni Lissu Pekee 2020
Mama yako amepata ngapi?Lema na mdee chali...
Kwani hamkulinda kura?Nilijua tu sarakasi lazm
Lema out, mdee out....Mama yako amepata ngapi?
Mama yako bado anachezea mpini?Lema out, mdee out....
Fresh from the kitchen
Pesa kidogo hutaki kupiga kura...Sijampigia mbunge, diwani, balozi nipo tu naawaangalia kupitia TV
Ungepigia hata CCM tu kuliko kutopiga kabisaSijampigia mbunge ,diwani,balozi nipo tu naawaangalia kupitia TV
Kama Gwajima kapita nahamia Kawe ili niweze kwenda MarekaniLema out, mdee out....
Fresh from the kitchen