Uchaguzi 2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Lissu amekuja kuua chama.. na ndo mgombea pekee CDM alieandika historia mbaya kabisa ya kufelisha wagombe udiwani na ubunge wengi kuliko kipindi chochote kile.
Upo sahihi kabisa, Lissu ni sisiemu na alikuwa anapewa maagizo yote ya kuuwa chama kutoka kwa jiwe.
 
Hakuna jipya hapo hii ndo ile sisiem ambayo haitakaa itoke madarakani kwa makaratasi, Kwahiyo endeleeni kufurahia ushindi wenu wa kubebwa ikiwezekana Tangazeni nchi nzima mmepita bila kupingwa.
 
una kazi ya ziada ya kupitaa kilaa uzi wa chadema kutoaa takwimu hivi hata mkeo umemgusa kweli au ni kazi ya kuandika ujinga tu
Nimemgongea mkewe mkuu, yeye anaendelee kusifu na kumuabudu mtukufu,mimi nikiendelea kusifiwa na mkewe huku.
 
Lema bye byeee...sasa tutaiona Arusha tulivu na yenye MAENDELEO

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Lissu amekuja kuua chama.. na ndio mgombea pekee CHADEMA alieandika historia mbaya kabisa ya kufelisha wagombea udiwani na ubunge wengi kuliko kipindi chochote kile.
Nakuunga mkono
 
Lissu amekuja kuua chama.. na ndo mgombea pekee CDM alieandika historia mbaya kabisa ya kufelisha wagombe udiwani na ubunge wengi kuliko kipindi chochote kile.
Hakuwa na connection na wabunge au madiwani
Wananchi tunataka barabara, vituo vya afya, elimu bure na bora sio blah blah
Sasa ndio vitakuja vya kutosha
 
Back
Top Bottom