Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Mpokeeni a
Mpokeeni Bwana Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yenu mjiepushe na uovu.
 
Hapa suala siyo la la akina mama kuwa makini na watu wanaowaamini. Sasa mke anaanzaje kumhisi mume wake kwamba atamlawiti mwanae mchanga?
Mke akiwa na mawazo kama hayo kwa mumewe basi hiyo nyumba ni ya ibilisi mzima mzima.
NB: Serikali ibadilishe hukumu za watu kama hawa ikithibitika ni kweli katenda huo unyama.
Hakunà haja ya watu kama hao kusumbua jela. Wachomwe moto hadharani ili wàtu waendelee na maisha mengine.
 
Ktk mikoa ambayo huqa siuelewi ni arusha watu huko wengi nawaonaga kama machizi fulani
Si wanawake si wanaume..
Wana usela fulani au vitabia fulani vya ajabu ajabu na kishamba

Ova
 
Inahuzunisha sana bila shaka ni masharti ya Mganga, tamaa ya utajiri wa harakaharaka unafanya baadhi ya Watu kufanya mambo ya kutisha ili wawe matajiri.
 
Hivi Hizi Kesi huwa zinakuwa zina Ukweli au ni masuala ya Wanawake gold-diggers kuwapakazia Wanaume tuhuma ili Wanawake matapeli wa ndoa wapate nafasi za kupora Mali za Wanaume?
Huyo baba ana miliki nini? Tuanzie hapo kwanza ndo swali lako litajibika vizuri
 
Huko sio kulawiti huko ni kuua tu kwa makusudi,mtu mzima unaposema unamuingilia mtoto wa miezi 9 unapitisha wapi?huyo mtu nahisi hata akili yake ichunguzwe kwanza...
 
Mimi ningekuwa ni Raisi watuhumiwa kama hawa ni kuwanyonga mara moja.

Kesi ikiisha mahakamani na ikathibitika umefanya kosa kama hili, natia saini yangu on the spot ukanyongwe.

Watu wa namna hii hawastahili kuishi hata kwa sekunde moja.
Naunga mkono hoja
 
Hata kama watu wako na mashetani kwa mawazo yao,lakini kwa mtoto wako wa kumzaa huyo ni zaidi ya shetani.
 
Mimi ningekuwa ni Raisi watuhumiwa kama hawa ni kuwanyonga mara moja.

Kesi ikiisha mahakamani na ikathibitika umefanya kosa kama hili, natia saini yangu on the spot ukanyongwe.

Watu wa namna hii hawastahili kuishi hata kwa sekunde moja.
Hakika
 
Tena hadharani ananyongwa
 
Anayetakiwa kuwa mlinzi namba moja ndiye anakuwa adui nambari moja.
Hatari sana.
 
Huyo ilitakiwa wananchi wamuue hapohapo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…