Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Inasikitisha mno
 
Mzee kachemsha,angeuza akahamia mjini kula bata na ashura
Kweli kabisa, hapo anajikomoa. Yupo mmoja aliuza mali yake kwa vile alijua atakufa karibuni na hakutaka wanawe kupata urithi pasipo kuufanyia kazi. Mungu alivyo mwema akamuongezea miaka ya kuishi na hivyo pesa aliyouzia ikawa imekwisha naye yu hai bado. Akajuta sana na kulia kwa uchungu kwani wanaye walimkaushia kwa vile ubaya aliuanza yeye.
 
Safi sana
 
Maisha yana siri sana
 
Sishangai coz kwa aina ya vilevi vilivyopo chugga haya mambo ni muda tu yatafanywa shm nyng za huko
 
Watoto wa kike sasa hivi wanabeba majukumu ya watoto wa kiume.Ukiwa na mtoto wa kike jua huko salama.Mzee wetu aliona bora Le mutuz angerudisha faili na Mwele angebaki Ila hamna namna.
🤣🤣
 
si bora andeziuza akae ale mpunga
 
Hizo nyumba huenda si zake ni zilijengwa na mama. Hizi ni akili za marioo wakizeeka. Nyumba uliyolipia tofali kwa tofali huwezi bomoa kiwepesi.
Ni rahisi sana kuyaandika haya ila ukiuvaa uhusika wa huyo mzee utaona uchungu alioupata.
baadhi ya mitoto ya chuga + bangi na pombe wengi hawana ubavu wa kupambana kama ilivyokuwa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…